Aliyezaba polisi kofi atozwa faini Sh500,000 au jela miaka mitano

Na KALUME KAZUNGU MAHAKAMA ya Lamu imemtoza faini ya Sh500,000 au kifungo cha miaka mitano gerezani mwanamume aliyepatikana na hatia ya...

MOSES DOLA: Mwanahabari ndani mwongo mzima kwa mauaji

Na RICHARD MUNGUTI NDOTO na matumaini ya mwanahabari  Moses Dola Otieno,  kusherehekea Krismasi na Mwaka Mpya na familia yake...

Mwanamume kuozea jela miaka 5,000 kwa mauaji ya halaiki

MASHIRIKA naa PETER MBURU MAHAKAMA moja ya taifa la Guatamela, Amerika ya Kati imemhukumu mwanaume aliyekuwa mwanajeshi miaka ya zamani...

Mafuta ya upako yakosa kumwepushia mhubiri kifungo cha maisha

Na TITUS OMINDE MAFUTA ya upako ambayo pasta mmoja alifika nayo mahakamani mjini Elodret hayakumsaidia kuepuka kifungo cha maisha, baada...

Ndani miaka 30 kwa kumuua mfugaji

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA wa kulinda wanyamapori amefungwa jela miaka 30 kwa kumuua mfugaji miaka nane iliyopita katika kitongoji duni...

Maafisa 4 ndani miaka 3 kwa wizi na kutumia afisi kujinufaisha

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Katibu wa Wizara ya Serikali za Wilaya, Sammy Kirui pamoja na maafisa wengine watatu wakuu wa baraza la...