Vijana sasa walia usajili wa polisi haukuwa wa haki

NA MAUREEN ONGALA VIJANA waliojitokeza kwa zoezi la kuwasajili makurutu wa polisi katika uwanja wa soka wa Karisa Maitha, Kaunti ya...

Vuguvugu kutoa mwaniaji ugavana

NA MAUREEN ONGALA WANASIASA wanaopanga kuwania ugavana katika Kaunti ya Kilifi kupitia ODM, wanaendeleza mashauriano ya kuungana...

Saba wafariki kwenye ajali matatu zilipogongana Kaunti ya Kilifi

MAUREEN ONGALA na WACHIRA MWANGI WATU saba walifariki katika ajali ya barabarani usiku wa kuamkia jana, Kaunti ya Kilifi. Ajali hiyo...

Serikali iharakishe miradi ya Italia – Kingi

Na MAUREEN ONGALA GAVANA wa Kilifi, Bw Amason Kingi, ameomba serikali ya kitaifa iharakishe kuidhinisha maelewano na serikali ya Italia,...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Daraja jipya latarajiwa kuinua uchumi wa Kilifi

Na MAUREEN ONGALA WAKAZI wa maeneo ya Baricho na Lango Baya katika Kaunti ya Kilifi wameelezea matumaini kwamba mradi unaoendelea wa...

Jumwa adai serikali ya Kingi haijali wakazi

ALEX KALAMA na VALENTINE OBARA MBUNGE wa Malindi, Bi Aisha Jumwa, ameisuta Serikali ya Kaunti ya Kilifi akidai kuwa haitilii maanani...

Chama cha Kingi chaanza kuvutia wanachama

Na MAUREEN ONGALA MAMIA ya wakazi wa Kilifi walijitokeza kujisajili kuwa wanachama wa Chama cha Pamoja African Alliance (PAA)...

Mamilioni yapotelea kwenye miradi duni

Na MAUREEN ONGALA MIRADI ya kunyunyiza maji mashambani iliyoanzishwa katika Kaunti ya Kilifi imeshindwa kuletea maelfu ya wakazi eneo...

Mtihani manaibu 3 wakiendea ugavana

MAUREEN ONGALA na VALENTINE OBARA MANAIBU gavana wa kaunti tatu za Pwani wanatarajiwa kukabiliana na mibabe wa kisiasa mwaka ujao katika...

Pwani wasema hawana cha kusherehekea Madaraka Dei

KALUME KAZUNGU na VALENTINE OBARA VIONGOZI na wakazi wa eneo la Pwani wamelalamikia ukosefu wa mafanikio makubwa eneo hilo, Kenya...

Kaunti yatuma maafisa kuzima mzozo wa ardhi

Na CHARLES LWANGA SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi imetuma wataalamu kubainisha mpaka kati ya shamba la kunyunyuziwa maji la Galana-Kulalu...