Maafisa wa DCI wakita kambi Kilifi kupeleleza serikali ya Kingi

Na MAUREEN ONGALA MAAFISA mbalimbali katika serikali ya Kaunti ya Kilifi wameingiwa na uoga baada ya maafisa wa idara ya Upelelezi wa...

Wakazi wa Kilifi walalamika kutembea kilomita 10 kutafuta maji

MAUREEN ONGALA na ANTHONY KITIMO WAKAZI wa Kaunti ya Kilifi wanalalamika kwamba wanaendelea kutozwa pesa na Kampuni ya Maji ya Mariakani...

Wakiukaji kanuni za Covid kuosha vyoo vya umma

CHARLES LWANGA na MUREEN ONGALA SERIKALI ya Kaunti ya Kilifi ikishirikiana na kamati ya usalama, imependekeza kuwa watu watakaopatikana...

Mabaki ya kemikali ya usindikaji korosho yadhoofisha afya za wakazi wa Kiwapa

Na MISHI GONGO WAKAZI zaidi ya 4,000 katika kijiji cha Kiwapa, Kaunti ya Kilifi wanaoishi karibu na eneo lililokuwa na kiwanda cha...

MAHANGAIKO: Baadhi ya wakazi wa Mayungu wategemea dampo kupata chakula

Na FARHIYA HUSSEIN TUNAKARIBISHWA na taka zilizooza na kuozeana na kutapaka kila mahali huku zikitoa uvundo eneo la Mayungu, Malindi,...

KURUNZI YA PWANI: Uchu wa mali, tuhuma za uchawi zinavyowaangamiza wazee Kilifi

Na KAZUNGU SAMUEL Baada ya mvi kuwa chanzo cha mauaji ya wazee katika kaunti ya Kilifi miaka ya awali, mambo sasa ni tofauti. Taifa...

Mwanamume kumlipa mkewe wa zamani Sh127,000 kila mwezi

Na RICHARD MUNGUTI JUHUDI za mwanaume za kupunguziwa mzigo wa kumtunza na kumpa mkewe aliyemtaliki kitita cha Sh127,000 kila mwezi maisha...

Pwani yaapa kujisuka upya kuingia serikalini 2022

Na KAZUNGU SAMUEL VIONGOZI wa Pwani wanapanga kuungana na kuwa katika serikali mwaka wa 2022 na wakapendekeza kuwa Gavana wa Kilifi,...

AKILIMALI: Kijiji kinachotegemea uchumaji wa chumvi Kilifi

Na KAZUNGU SAMUEL na EUNICE MURATHE HUKU jua kali likiendelea kuwachoma bila huruma, wakazi wanaoishi katika ukanda wa kutoa chumvi wa...

Agizo ardhi inayozozaniwa isiingiliwe hadi kesi isikizwe

[caption id="attachment_1207" align="aligncenter" width="800"] Joseph Lenguris (kushoto) akitazama vijana wakiangusha lango la shamba...