Madiwani Kisumu walaumiwa kwa ziara ya Tanzania

Na RUSHDIE OUDIA MADIWANI wa kaunti ya Kisumu wameshutumiwa vikali kwa kufanya ziara ya wiki moja ya mafunzo nchini Tanzania, ziara...

Nyong’o aondoa hofu kuhusu corona inayoshuhudiwa India

Na KNA GAVANA wa Kisumu Prof Anyang’ Nyong’o, amehimiza wakazi kuondoa hofu kuhusu kuzuka kwa aina ya virusi vya corona -...

Uhuru na Raila kusafiri kwa garimoshi hadi jijini Kisumu

Na RUSHDIE OUDIA RAIS Uhuru Kenyatta na kiongozi wa chama cha ODM, Raila Odinga, wiki ijayo wanatarajiwa kufanya safari ya kwanza ya...

Uhuru atoa amri miradi Kisumu ikamilike upesi

Na RUSHDIE OUDIA RAIS Uhuru Kenyatta ametoa maagizo mapya ya kukamilishwa kwa miradi ya mabilioni ya pesa katika Kaunti ya Kisumu huku...

Uhuru azindua ujenzi wa uwanja mpya na wa kisasa mjini Kisumu

Na CHRIS ADUNGO RAIS Uhuru Kenyatta amehakikishia vijana kwamba Serikali yake imejitolea kujenga viwanja vipya, kukarabati vile...

Wauguzi wagoma kwa mara ya 4 mwaka huu Kisumu

ELIZABETH OJINA Sekta ya afya kaunti ya Kisumu iko mashakani humu mgomo wa wauguzi na maafisa wa afya ukifikia wiki ya mbili. Mwaka...

Wauguzi Kisumu wasisitiza hawarudi kazini hadi walipwe mshahara wa Januari

Na BRENDA AWUOR WAGONJWA katika hospitali zilizopo Kaunti ya Kisumu, watalazimika kupokea matibabu kutoka hospitali za wamiliki binafsi...

Rais, Raila walihofia kuzomewa Kisumu

Na RUSHDIE OUDIA Baadhi ya wakazi katika eneo la Kisumu walipanga kumwaibisha Rais Uhuru Kenyatta wakati wa kuzindua upya bandari jijini...

Rais azuru Kisumu kwa mara ya saba

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta alizuru Bandari ya Kisumu kwa mara ya saba kukagua ujenzi wake unavyoendelea. Rais alifanya...

Ukarabati Bandari ya Kisumu waumiza wengi kibiashara

Na WAANDISHI WETU MAELFU ya wafanyabiashara katika Kaunti ya Kisumu wanakadiria hasara kubwa baada ya majengo na vibanda vyao...

HANDISHEKI: Kisumu kupata taa za trafiki miaka 118 baadaye!

Na JUSTUS OCHIENG KISUMU itapata taa za trafiki kwa mara ya kwanza kabisa, miaka 118 tangu jiji hilo la eneo la Nyanza kujengwa, ishara...

Raila azomewa na wakazi wa Kisumu

RUSHDIE OUDIA Na PETER MBURU WAKAZI wa Muhoroni katika Kaunti ya Kisumu, Jumatatu walimkemea kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga...