Kisumu kuandaa Elgon Cup 2019, ni mara ya kwanza Kenya inaandaa kombe hili nje ya Nairobi

Na GEOFFREY ANENE MJI wa Kisumu umeteuliwa kuandaa mechi ya nyumbani ya Kenya ya raga ya kimataifa ya wachezaji 15 kila upande ya Elgon...

Kusafiri Kisumu kwa ndege sasa ni ghali kuliko Mombasa

 Na GERALD ANDAE IDADI kubwa ya watu wanaotumia ndege kusafiri kuelekea Kisumu msimu huu wa krismasi kwa mara ya kwanza imesababisha...

Nyanya, 76 afariki baada ya kukosa kumtumbuiza Rais Kisumu

Na JUSTUS OCHIENG MWANAMKE aliyekosa nafasi ya kumtumbuiza Rais Uhuru Kenyatta kwenye ziara yake jijini Kisumu majuzi alizimia na...

Uhuru na Raila washauriana kisiri usiku

Na WAANDISHI WETU RAIS Uhuru Kenyatta alikutana kisiri na kiongozi wa ODM Raila Odinga mnamo Alhamisi usiku katika Ikulu ndogo ya Kisumu...

Hoteli Kisumu zavuna matunda ya muafaka kwenye ziara ya Rais

Na ELIZABETH OJINA-250 MIKAHAWA ya kifahari jijini Kisumu imevuna pakubwa kutokana na ziara ya Rais Uhuru Kenyatta kuzindua mpango wa Afya...

Referenda yaja, Uhuru adokezea Wakenya

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta Alhamisi alidokeza kuunga mkono marekebisho ya Katiba ili kuwe na nafasi zaidi za uongozi...

MIMBA ZA MAPEMA: Chifu aliyejitolea kukuza maadili katika jamii

Na RUSHDIE OUDIA HUKU taifa likiduwazwa na idadi kubwa ya wasichana wa shule za msingi na upili wanaogonga vichwa vya habari kwa kushika...

Jaramogi ahusishwa na mzozo wa mpakani

TOM MATOKE na WYCLIFF KIPSANG MZOZO wa mpaka kati ya Kaunti za Nandi na Kisumu ulichukua mwelekeo mpya Jumatatu baada ya jina la...

Mwanamke ndani miaka 15 kwa kunajisi tineja

Na RUSHDIE OUDIA KATIKA kisa kisicho cha kawaida, Mahakama ya Kisumu Jumatano ilimhukumu mwanamke wa miaka 24 kifungo kikali cha miaka...

Bila Miguna, hakuna amani, wakazi Kisumu waimba

RUSHDIE OUDIA na EDDY ODHIAMBO WAKAZI wa Kisumu Jumatano waliandamana katika eneo la Kondele, kulalamikia kuendelea kuzuiliwa kwa...

Ziara ya Rais Uhuru na Raila mjini Kisumu yaahirishwa

Na JUSTUS WANGA MKUTANO wa pamoja kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga uliotaribiwa kufanyika wiki hii mjini...

EABL yalenga kuunda lita milioni 100 za ‘Keg’ Kisumu

Na BERNARDINE MUTANU Ufanisi wa kiwanda cha pombe Kisumu kilichozinduliwa na Kampuni ya EABL utategemea uzinduzi wa vilabu vya pombe...