SAMMY WAWERU: Visa vya askari kujiua na kuangamiza wenzao vichunguzwe

Na SAMMY WAWERU KATIKA siku za hivi karibuni visa vya askari kujiua kwa silaha wanazotumia kuimarisha usalama na pia kuangamiza wenzao...

Aliyetekeleza shambulizi Chuo cha Garissa ajinyonga selini

Na MARY WAMBUI RAIA wa Tanzania Rashid Charles Mberesero aliyehukumiwa kifungo cha maisha mwaka 2019 baada ya kupatikana na hatia ya...

CORONA: Waziri wa Fedha Ujerumani ajiua

MASHIRIKA NA FAUSTINE NGILA WAZIRI wa mmoja nchini Ujerumani amejiua baada ya kuelezea kulemewa kupata mikakakati ya kufufua uchumi wa...

CORONA: Mwanamke aliyetengwa kwa lazima ‘ajitia kitanzi’ Nakuru

NA ERIC MATARA MWANAMKE wa miaka 27 kutoka nchini Afrika Kusini aliyekuwa ametengwa kwa lazima kwa siku 14 mjini Nakuru amepatikana...

Mwili wa polisi aliyetoweka wapatikana ukining’inia mtini

Na JACOB WALTER MWILI uliokuwa umeanza kuoza wa afisa wa polisi aliyetoweka mnamo Novemba 18, 2019, ulipatikana Ijumaa ukining’inia...

MAKALA MAALUM: Nyandarua yalemewa na visa vya mauaji na kujitia kitanzi

Na WAIKWA MAINA MAKABURI matatu katika lango kuu la shamba na nyumbani mwa Bi Margaret Wambui yamesalia kuwa kumbukumbu ya majonzi ya...

Mwaniaji urais aliyejaribu kujiua kujua hatima yake Agosti

Na RICHARD MUNGUTI MWANIAJI kiti cha urais mwaka wa 2017 wa kujitegemea Bw Peter Solomon Gichira atajua hatima ya kesi inayomkabili ya...

TAHARIRI: Visa vya polisi kujiua nchini vichunguzwe

NA MHARIRI Tusemezane ukweli. Ongezeko la visa vya maafisa wa polisi kujitoa uhai na kuua watu wa familia zao linatisha. Kuna hatari ya...

Wazazi wamshangaa msichana aliyekunywa sumu shuleni

OSCAR KAKAI na ANTHONY KITIMO MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi ya Nasokol, Kaunti ya Pokot Magharibi amefariki huku mwenzake akilazwa...

Nini hasa ndicho kiini cha mtu kujitia kitanzi?

Na MWANGI MUIRURI KUAMUA kujiua kumehusishwa sana na shida ya kiakili. Kuna wadadisi ambao hushikilia kuwa shida hiyo ambayo huishia...

Mama ajiua kwa kukosa karo ya mwanawe

Na BONIFACE MWANIKI MWANAMKE wa miaka 37 alijitia kitanzi Jumatano asubuhi katika Kaunti ya Kitui baada ya kukosa karo ya kumpeleka...

Askari wa Utawala amuua mkewe kabla kujiua kwa risasi

Na JOSEPH OPENDA AFISA wa polisi wa utawala katika kambi ya Piave, Kaunti ya Nakuru, alimuua mkewe kwa kumpiga risasi kisha akajiua kwa...