Ajinyonga na kuacha barua mkewe aliyemtoroka ahudhurie mazishi

Na PETER MBURU MWANAMUME wa miaka 22 kutoka kaunti ya Homa Bay amewaacha watu kwa mshangao baada ya kujiua na kuwacha ujumbe kuwa mkewe...

Meneja wa PwC afariki baada ya kujirusha kutoka orofa ya 17

Na PETER MBURU MWANAMUME anayesemekana kuwa meneja katika kampuni ya PriceWaterhouseCoopers (PwC) aliaga dunia baada ya kujirusha kutoka...

Ajiua sababu ya mke kuwa na mpango wa kando

Na KALUME KAZUNGU MWANAMUME wa makamo (pichani) Jumanne alijitia kitanzi baada ya kugundua kuwa mkewe alikuwa na uhusiano wa kimapenzi...

Ajinyonga kutotaka wazazi wagharimie matibabu

Na JOHN NJOROGE HALI ya majonzi imetanda katika kijiji cha Nyakiambi, viungani mwa mji wa Elburgon baada ya mwili wa mwanaume aliye na...

Mwalimu ajitia kitanzi na kuacha ujumbe kushauri wanaume

Na GRACE GITAU Polisi wanachunguza kisa ambapo mwalimu wa shule ya upili Kaunti ya Kirinyaga alijitia kitanzi na kuacha ujumbe akishauri...

Aliyezuiliwa kwa kuua mwanawe ajiua ndani ya seli

Na HILLARY KIMUYU MWANAMUME ambaye amekuwa akizuiliwa na polisi kwa madai ya kumuua mwanawe wa kambo kwa kumdunga kisu alipoingilia...

Ajitia kitanzi akilalamikia kuchoshwa na mkewe

BARACK ODUOR na CHARLES WASONGA MWANAMUME mmoja katika kaunti ya Homa Bay Alhamisi alijiua katika mti wa maembe kwa madai kuwa...

Mwanafunzi ajiua mamake kumkera kwa kudai anagawa uroda kijijini

Na CHRIS ADUNGO na GERALD BWISA MWANAFUNZI wa darasa la sita katika kaunti ya Trans Nzoia alijitia kitanzi baada ya mama yake kudai...

Ajiua baada ya kukosana na mpenzi Valentino Dei

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Wauzaji wa maua walikuwa wachache katikati ya jiji ambako shughuli za kawaida za kibiashara...

Baba ajiua baada ya kukosana na mwanawe

Na GERALD BWISA MWANAMUME wa miaka 55 Jumatatu alijiua baada ya kugombana na mwanawe katika kaunti ya Trans Nzoia. Marehemu,...