Vigogo wa KNUT, KUPPET sasa waanza kuhemeshwa

Na FAITH NYAMAI KUNDI la ‘waasi’ limeibuka ndani ya Chama cha Walimu (Knut) na kile cha Walimu wa Shule za Upili na Vyuoni (Kuppet)...

TSC yafungua roho kwa Knut baada ya Sossion kuondoka

Na DAVID MUCHUNGU SIKU mbili baada ya Wilson Sossion kujiuzulu kama Katibu Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (Knut), Tume ya Huduma...

Utawala wa Sossion katika KNUT hatarini

Na SHABAN MAKOKHA UTAWALA wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Walimu Kenya (KNUT) Wilson Sossion, sasa unaning’inia kwenye jabali baada ya...

Knut yasaka pesa za kuandaa kongamano la wajumbe

Na VITALIS KIMUTAI CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (Knut) kinatafuta pesa za kuandaa kongamano la Kitaifa la Wajumbe (NDC) ili kuchagua...

WANTO WARUI: TSC imejifunga kibwebwe kuporomosha KNUT kabisa!

Na WANTO WARUI Tume ya kuajiri Walimu nchini (TSC) imetoa meno yake yote nje kuhakikisha kuwa inang’ata adui yake wa miaka mingi, KNUT...

Baadhi ya wanachama Knut wazidi kushinikiza Sossion ajiuzulu

Na WANDERI KAMAU BAADHI ya maafisa wa ngazi ya juu ya Chama Cha Walimu Nchini (Knut) wameingia kwa lazima katika makao makuu jijini...

TAHARIRI: Knut ilegeze masharti yake makali dhidi ya TSC

NA MHARIRI SEKTA ya elimu imekuwa ikikumbwa na misukosuko mingi kwa miezi kadhaa sasa. Ukosefu wa utulivu katika sekta hii...

Lazima TSC itekeleze amri ya mahakama – KNUT

Na VITALIS KIMUTAI WALIMU kupitia muungano wa KNUT wameitisha mkutano na Tume ya Kuwaajiri (TSC) Jumatatu ili kujadili sulala la...

Walimu waunga mkono wabunge SRC ivunjwe

Na MWANDISHI WETU CHAMA cha Kitaifa cha Walimu (KNUT) kinataka Tume ya Mishahara ya Watumishi wa Umma (SRC) ifutiliwe...

Walimu wakerwa na polisi kuzembea kazini kuchunguza mauaji

RICHARD MAOSI NA JOSEPH OPENDA CHAMA cha Walimu nchini (KNUT) tawi la Nakuru, kimekerwa na jinsi polisi wamekuwa wakifanya uchunguzi wa...

KNUT yaungana na COTU, lengo si kushinikiza serikali, asema Sossion

NA CECIL ODONGO VIONGOZI wa Muungano wa kitaifa wa vyama vya wafanyakazi Kenya (COTU) na Chama cha kitaifa cha kutetea walimu nchini...

Mgomo wa walimu wazimwa

Na RICHARD MUNGUTI MGOMO wa walimu uliotisha kusambaratisha ufunguzi wa shule zaidi ya 20,000 kote nchini ulifutiliwa mbali Jumatano na...