TAHARIRI: Serikali na KNUT wajali wanafunzi

NA MHARIRI TANGAZO la chama cha walimu nchini (KNUT) kwamba kinapanga kuanza rasmi mgomo Alhamisi, linajiri wakati shule zinapotarajiwa...

2019: Mgomo kuanza Alhamisi huku Knut ikikaza kamba

Na CHARLES WASONGA NI rasmi sasa kwamba shughuli za masomo katika shule zote za umma nchini zitatatizika kuanzia Alhamisi wiki hii shule...

2018: Uhamisho wa walimu ulizua utata baina ya KNUT na TSC

Na WANDERI KAMAU MWAKA huu ulikuwa mgumu sana kwa walimu, hasa wanaofanya kazi katika ukanda wa Kaskazini Mashariki kutokana na msururu...

Tutasambaratisha masomo Januari ‘uhamisho kiholela’ usipokomeshwa, walimu waapa

Na WANDERI KAMAU WALIMU wametangaza mgomo mkubwa wa kitaifa kuanzia Januari 2 2019, kwa kile wametaja kutozingatiwa kwa maslahi yao na...

Walimu wataka Sh17b za bima ya matibabu

Na OUMA WANZA WALIMU wanataka watengewe pesa zaidi za bima ya afya wakisema Sh5.6 bilioni wanazotengewa kwa wakati huu...

Knut na Kuppet zalaumiana kuhusu anayewajali walimu

Na PIUS MAUNDU KATIBU Mkuu Msaidizi wa Chama cha Kitaifa cha Walimu (KNUT), Bw Collins Oyuu amekashifu Chama cha Walimu wa Sekondari...

TAHARIRI: Mgomo utahujumu maandalizi shuleni

NA MHARIRI TANGAZO la Katibu Mkuu wa Chama cha Kitaifa cha Walimu nchini (KNUT) kwamba huenda kitaandaa mgomo wa kitaifa wa walimu iwapo...

Kwa muda mrefu tumelipwa mishahara ya kitoto, walimu wa chekechea walia

NA WANDERI KAMAU WALIMU wa shule za chekechea nchini sasa wanataka kuwekwa chini ya usimamizi wa Tume ya Kuwaajiri Walimu (TSC) na...

Tunatambua Sossion kama kinara wa KNUT – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI KITUMBUA cha naibu wa katibu mkuu (SG) wa chama cha kutetea walimu Hesbon Otieno kilitiwa mchanga baada ya mahakama...

Mzozo Knut wachacha huku Sossion akitupwa nje

Na BERNARDINE MUTANU MZOZO katika Chama cha kitaifa cha Walimu (KNUT) uliendelea kutokota zaidi jana baada ya wanachama wa Kamati Kuu...

Sitoki KNUT ng’o, aapa Sossion

Na WYCLIFFE MUIA KATIBU Mkuu wa Muungano wa Walimu nchini (Knut) Wilson Sossion Jumanne alisema hang’atuki kamwe baada ya Baraza la...

Walimu watisha kugoma wakiendelea kuhamishwa

Na BARACK ODUOR WALIMU wametishia kugoma muhula ujao kama serikali haitabadilisha sera za kuhamisha walimu kutoka maeneo yao ya...