Makueni yapinga agizo Taveta itoze kodi Mtito

Na PHILIP MUYANGA SERIKALI ya Kaunti ya Makueni, imepinga agizo la mahakama ambalo liliipa Serikali ya Kaunti ya Taita Taveta mamlaka ya...

TAHARIRI: Kurudisha kodi ni pigo kwa Wakenya

NA MHARIRI HATUA ya serikali ya kupunguza kodi za bidhaa (VAT) na mapato (PAYE) na ushuru kwa kampuni mnamo Aprili mwaka huu iliwafaidi...

Miezi mitatu wakiishi kichakani baada ya kukosa kodi

Na MWANDISHI WETU MWANAMUME na mwanawe, ambao wamekuwa wakilala kichakani katika Kaunti ya Machakos, baada ya kutimuliwa kwa nyumba...

Mama, mtoto wafungiwa na ajenti kwa kushindwa kulipa kodi

Na PHYLLIS MUSASIA WAKAZI wa Egerton, Njoro katika Kaunti ya Nakuru wamewashutumu polisi kwa kumwachilia huru ajenti wa nyumba...

Mahangaiko mitaani watu wakikosa kodi

Na SAMMY WAWERU Visa vya malandilodi kubomolea wapangaji mapaa ya nyumba, kuwafungia milango na hata kuwafurusha kwa kulemewa kulipa...

Ang’olewa paa la nyumba kwa kuchelewa kulipa kodi ya Aprili

Na CHARLES WASONGA MPANGAJI mmoja katika mtaa wa Kariobangi South, Nairobi Jumatatu aling’olewa paa la nyumba kwa kuchelewa kulipa...

Wakazi waomba malandilodi wakome kuwaitisha kodi kwani ‘hali ni mbaya’

NA RICHARD MAOSI Wakazi katika mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru wameelezea hofu ya kufurushwa kwenye nyumba za kupangaendapo hawatalipa...

Waliochelewa kulipa kodi watupwa nje Juja

Na LAWRENCE ONGARO WAKAZI wa kijiji cha Witeithie, Juja, Kaunti ya Kiambu, wameanza kufurushwa kutoka kwa nyumba zao baada ya kutolipa...

Malandilodi Nakuru watisha kung’oa milango kwa wanaolemewa kulipa kodi

NA RICHARD MAOSI Wakazi katika mtaa wa Langalanga kaunti ya Nakuru siku ya Ijumaa walielezea hofu ya kufurushwa kwenye nyumba za...

Corona: Hatua ya landilodi kuwaondolea wapangaji kodi yachangamsha wengi

Na MACHARIA MWANGI MMILIKI mmoja wa nyumba mjini Ndunyu Njeru katika eneobunge la Kinangop, Kaunti ya Nyandarua, amewaondolea kodi ya...

Kodi: Serikali yalenga ‘mahasla’

Na BENSON MATHEKA HALI ya maisha inatarajiwa kuwa ngumu hata zaidi kwa Wakenya wanaotegemea biashara za mitaani baada ya serikali kuanza...

Demu amzaba kofi landilondi kwa kukatalia deposit

Na TOBBIE WEKESA ZIMMERMAN, NAIROBI KIZAAZAA kilizuka kwenye ploti moja mtaani hapa baada ya kipusa kumzaba kofi landilodi alipokataa...