Sharks, Homeboyz zalenga kupanua uongozi ligini leo

Na CECIL ODONGO VIONGOZI wa Ligi Kuu (KPL) Kariobangi Sharks na Kakamega Homeboyz leo watapata nafasi ya kuzidisha uongozi wao kwenye...

Sofapaka kuwa na kikosi kamili dhidi ya Bidco United

NA ABDULRAHMAN SHERIFF SOFAPAKA FC inatarajia kuwa na wachezaji wake wote watatu wanaochezea timu za taifa za Kenya na Burundi...

Klabu 15 KPL zapewa Sh13m

Na CHRIS ADUNGO KLABU 15 kati ya 18 za Ligi Kuu ya soka ya humu nchini zimepokea hundi ya Sh13 milioni ambazo ni malipo ya awali kabisa...

Kisumu All Stars wakatiza uhusiano na kipa chaguo la kwanza

Na CHRIS ADUNGO KIKOSI cha Kisumu All Stars kimethibitisha kwamba kimeagana rasmi na kipa chaguo la kwanza Gad Mathews baada ya mkataba...

Wito FKF ishauriane na timu za KPL

Na CHRIS ADUNGO MWENYEKITI wa Mathare United, Bob Munro amesema klabu za Ligi Kuu ya Kenya ndizo zitakazokuwa na usemi wa mwisho kuhusu...

Wanasoka wa KPL kupokea Sh10,000 kila mmoja kila mwezi kutoka kwa serikali kipindi hiki kigumu

Na CHRIS ADUNGO WAZIRI wa Michezo, Amina Mohamed, amethibitisha kwamba wachezaji wa Ligi Kuu ya Soka ya Kenya (KPL) watakuwa wakipokezwa...

KPL kuamua hatima ya ligi wiki hii

Na CECIL ODONGO USIMAMIZI wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL) utaandaa mkutano wiki hii kuamua hatima ya msimu huu baada ya serikali kuongeza...

KPL: Nick Mwendwa aendelea kulaumiwa kwa kutoa uamuzi wa ‘mtu binafsi’

Na SAMMY WAWERU HALI ya vuta n'kuvute inaendelea kushuhudiwa kuhusu mustakabali wa mechi za Ligi Kuu ya Kenya (KPL) 2020. Licha ya...

Matumaini ya mdhamini Ligi Kuu yayeyuka

Na CECIL ODONGO KLABU za Ligi Kuu nchini (KPL) zimetakiwa zijitayarishe kwa nyakati ngumu zaidi kwa sababu hakuna matumaini ya mdhamini...

Gor Mahia yaanza kunusa taji la ligi

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Gor Mahia wako katika orodha ya klabu nane zilizopiga hatua kubwa kwenye jedwali la ligi kuu baada...

KPL sasa yasema ‘serikali saidia’ ikitangaza Ligi Kuu haiwezi kusimamishwa

Na GEOFFREY ANENE Ligi Kuu ya soka ya Kenya (KPL) itaendelea jinsi ilivyopangwa, uongozi wa kampuni inayoendesha ligi hiyo KPL umesema...

Gor Mahia na KCB zaanza Ligi Kuu kwa kasi

Na JOHN KIMWERE MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu ya KPL, Gor Mahia FC ilifungua kampeni zake kwa kupiga Tusker FC ya kocha, Robert Matano...