Mfungaji bora KPL asema anafuata nyayo za Waruru na Makwata

NA RICHARD MAOSI Mshambulizi wa Ulinzi Stars Enosh Ochieng ndiye mfungaji bora wa KPL msimu wa 2018-2019. Enosh alipata tuzo hiyo...

Ligi yatamatika kwa mbio za mfungaji bora

Na CHRIS ADUNGO KIPENGA cha kuashiria tamati ya Ligi Kuu ya Kenya (KPL) msimu huu kitapulizwa leo Jumatano huku jumla ya mechi tisa...

Kisumu All Stars waweka hai tumaini la kutinga KPL baada ya kulaza Police

Na GEOFFREY ANENE KISUMU All Stars ilijiongezea matumaini ya kuingia Ligi Kuu msimu 2019-2020 baada ya kubwaga Kenya Police 1-0 kwenye...

Rangers, Tusker na Homeboyz zavuna pointi tatu

Na JOHN ASHIHUNDU Posta Rangers waliandikisha ushindi wa 1-0 dhidi ya Ulinzi Stars katika mechi ya ligi kuu ya SportPesa iliyochezewa...

ODONGO: Viongozi wa soka wawe vielelezo bora na wenye maadili

NA CECIL ODONGO ZIMWI la vurugu katika fani ya soka, wiki jana lilirejea na kupaka tope kwa mara nyingine mchezo huo unaohusudiwa na...

Gor wachupa kileleni KPL

Na GEOFFREY ANENE MABINGWA watetezi Gor Mahia walidumisha rekodi yao ya kutoshindwa na Zoo Kericho hadi mechi tano kwenye Ligi Kuu ya Soka...

TUZO ZA KPL: Orodha nzima ya wachezaji waliojizolea hela

Na GEOFFREY ANENE ERICK Kapaito alitia kibindoni Sh1,775, 000 katika msimu wake wa kwanza kabisa katika Ligi Kuu ya Soka ya Kenya baada ya...

Warsha kuandaliwa kuelimisha timu za KPL msimu mpya ukinukia

Na CECIL ODONGO KAMPUNI inayoendesha ligi kuu nchini KPL inapanga kuandaa warsha ya siku moja kwa klabu zote 18 zitakazoshiriki KPL...

TUZO ZA KPL 2018: Orodha nzima ya wachezaji watakaomenyana

Na GEOFFREY ANENE MSHAMBULIAJI Eric Kapaito ametiwa katika vitengo vinne kwenye orodha ya wawaniaji wa tuzo za Kampuni inayoendesha Ligi...

Ulinzi yapanga kuinyeshea Vihiga mvua ya magoli

Na CECIL ODONGO KLABU ya Ulinzi Stars inalenga kuwalisha kichapo mahasimu wao Vihiga United, timu hizo zitakapokutana Jumapili 22, 2018...

Kadi kuwakosesha mastaa 3 mechi za KPL

Na CECIL ODONGO HUKU wiki ya 23 ya ligi kuu nchini KPL ikitarajiwa kunogeshwa wikendi hii ya Tarehe 14 na 15, wanadimba watatu...

Vifaa butu vyazidi kutemwa huku vipaji vikihifadhiwa KPL

Na CECIL ODONGO HUKU msimu wa kuingia sokoni na kuwanunua au kuwauza wachezaji ukiendelea, klabu za Posta Rangers na Kakamega Homeboyz...