Watoto 88 wazaliwa Krismasi Eldoret

NA TITUS OMINDE WANAWAKE 88 katika hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi MTRH mjini Eldoret walisherehekea Krismasi kwa kujifungulia...

Fistula inavyowahangaisha wanawake

NA WANGU KANURI Yumkini ni furaha ya kila mwanamke mjamzito kumpakata mtoto wake ajapojifungua na pia kuwa mwenye siha njema. Lakini...

AFYA: Ngoja ngoja ya miezi tisa kaja na majonzi tele

NA PAULINE ONGAJI Ni mwezi mmoja sasa tangu kumpoteza mwanawe na Fatuma Ibrahim, 27, bado anauguza jeraha lililotokana na upasuaji...

Kero mama kujifungua karibu na lango la hospitali ya Pumwani

Na SAMMY WAWERU Hospitali ya kujifungulia kina mama ya Pumwani, Nairobi imemulikwa kwa mara nyingine kufuatia utepetevu wake katika...

SENSA: Kina mama 180,000 hujifungulia nyumbani

Na PETER MBURU LICHA ya mpango wa serikali wa afya kwa wote na kuondoa mfumo wa kulipisha kina mama wanaotafuta huduma za kujifungua...

Makanga wamsaidia mjamzito kujifunga katika steji

Na KANYIRI WAHITO MAKANGA wa mabasi ya kampuni ya Embassava jijini Nairobi mnamo Ijumaa jioni walimsaidia mwanamke mjamzito kujifungua...

Madaktari waonya dhidi ya dawa za kupunguza maumivu ya uke

Na MISHI GONGO MADAKTARI wameonya wanawake dhidi ya kutumia dawa za kienyeji za kupunguza maumivu ya uzazi, wakisema zinachangia vifo...

Mwanamke ajifungua ndani ya teksi nje ya Nation Centre

FAITH NYAMAI na CHARLES WASONGA MWANAMKE mmoja Jumanne jioni alijifungua mtoto mvulana ndani ya teksi nje ya afisi kuu ya Shirika la...

Mwanamume ashtaki korti kwa kumfanyia upasuaji wa ‘kujifungua’

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME wa miaka 34 kutoka Louisville ameshtaki hospitali moja baada ya kumfanyia upasuaji unaofanyiwa...

Mwanamke kulipwa Sh61m kwa kulazimishwa kujifungua akiwa na pingu

MASHIRIKA Na PETER MBURU SERIKALI ya jimbo la New York, Amerika itamlipa mwanamke Sh61 milioni, baada ya kulazimishwa kujifungua akiwa...

Vifo wakati wa kujifungua vimepungua – Wizara ya Afya

Na ERIC MATARA IDADI ya akina mama wajawazito wanaofariki wakijifungua nchini imeshuka, huku zaidi ya asilimia 62 ya akina mama...