UFUGAJI: Kuku wa kienyeji bado smaku sokoni

Na PAULINE ONGAJI LICHA ya kuwa amesomea masuala ya uhalifu na usalama chuoni, mbali na kuwa kwa sasa anajihusisha na biashara ya kuuza...

Ukosefu wa sehemu maalum za kuuzia kuku wachosha wafanyabiashara

Na SAMMY WAWERU RUTH Wanjiru amekuwa katika ufugaji wa kuku halisi wa kienyeji na walioimarishwa, kwa muda wa miaka...

MAPISHI: Nyama ya kuku yenye ukavu na utamu wa kipekee

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 20 Muda wa mapishi: Dakika 30 Walaji:...

Ninauza mayai ya Sh1.5m kila siku – Ruto

Na CHARLES WASONGA NAIBU Rais William Ruto amefichua kuwa yeye huingiza Sh1.5 milioni kila siku kutokana na mauzo ya mayai 150, 000...

Kilio cha wafugaji wa kuku Kiambu

Na LAWRENCE ONGARO WAFUGAJI wengi wa kuku Kaunti ya Kiambu wanapata hasara, chanzo kikiwa ni kudorora kwa bei ya mayai. Wafugaji hao...

‘Ukiwa na mipango maalumu si ajabu ufugaji wa kuku ukuingize kwenye ligi ya wakwasi’

Na SAMMY WAWERU   WATAALAMU wa ufugaji wanasema mchango wa kodi ya ushuru kutoka sekta ya ufugaji wa kuku unaweza kuongezeka...

Ushirikiano Kaunti ya Kaimbu wainua wafugaji wa kuku

NA KEVIN ROTICH Kabla ya ushirika wa wakulima wa kuku kuvumbuliwa mwaka jana katika eneo la Ngoingwa, wakulima wa kaunti ya Kiambu...

Corona inavyoumiza wafugaji wa kuku

Na KEVIN ROTICH Kabla kuzuka kwa janga la virusi vya corona, biashara ya kuku ilinoga sana nchini ikilinganishwa na hali ilivyo sasa....

Wataka mayai kutoka mataifa ya nje yapigwe marufuku Kenya

Na LAWRENCE ONGARO WAFUGAJI wa kuku Kaunti ya Kiambu wanaiomba serikali ipige marufuku mayai yanayoingizwa nchini kutoka nchi za...

AKILIMALI: Kuku si kitoweo tu, ni kitega uchumi murua

PHYLLIS MUSASIA na CHRIS ADUNGO WATU wengi nchini wanaendesha ufugaji wa kuku lakinisi kila mmoja anayefaulu muda anapojitosa katika...

Akanusha shtaka kwamba aliiba kuku 152 wenye thamani ya Sh53,200

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMUME anayeuza bidhaa za rejareja katika soko la Muthurwa, Nairobi alishtakiwa kumpora mwanamke kuku 152 wenye...

Asukumwa jela kwa kuiba kuku

Na Titus Ominde MWANAMUME amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka miwili na mahakama mjini Eldoret baada ya kukiri shtaka la kuiba kuku...