KRISMASI: Bei ya nyama ya mbuzi na kuku yapanda

JOHN MUTUA na CHARLES WASONGA BEI ya mbuzi na kuku imepanda zaidi wakati huu wa Krismasi huku uchumi ukishuhudia kupungua kwa watu...

AKILIMALI: Ufugaji wa kuku faida tele Krismasi

Na PETER CHANGTOEK ALILELEWA katika familia inayojishughulisha kwa kilimo cha ufugaji wa kuku pamoja na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa,...

Kuku ndicho chakula maarufu nchini Kenya – Ripoti

Na MARY WANGARI IDADI kubwa ya Wakenya hupendelea kuagiza mlo wa kuku na pizza ambavyo ni miongoni mwa vyakula vilivyojitwalia umaarufu...

AKILIMALI: Ukakamavu wake katika ufugaji wa kuku umeendelea kumjenga kibiashara

Na CHRIS ADUNGO MKULIMA Augustine Kanyanya, alizaliwa katika uliokuwa Mkoa wa Magharibi katika miaka ya 90. Alipohitimisha masomo...

UFUGAJI: Mboga za kijani ni muhimu katika kuwapa kuku madini ya Vitamini

Na SAMMY WAWERU UKIZURU yumkini katika kila boma, hasa mashambani kuna mifugo na ndege wa nyumbani ambao hutakosa kuwaona. Nao ni...

AKILIMALI: Ufugaji ng’ombe haukumpa faida aliyotazamia, akajaribu kuku na sasa hajuti kamwe

Na DUNCAN MWERE KABLA ya kujitosa mzimamzima kwenye ufugaji wa kuku na ndege wa kila aina, alifahamika na wengi kutokana na kufuga...

MAPISHI NA UOKAJI: Jinsi ya kuoka kuku kwenye ovena

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmedia.com Muda wa kuandaa: Dakika 20 Muda wa mapishi: Saa 1 Walaji: 4 Vinavyohitajika ...

KIU YA UFANISI: Wengi hustaajabia kuku wake walao mboga na matunda kama binadamu

Na CHARLES ONGADI UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni. Je, umeshawahi kuona kuku wanaokula mboga na matunda kama tu binadamu...

Wakenya wanapenda minofu ya kuku kuliko nyama ya ng’ombe – Ripoti

Na CAROLYNE AGOSA WAKENYA wengi wanapenda nyama ya kuku zaidi kuliko ya ng’ombe. Aidha, samaki wamekuwa maarufu zaidi kuliko nyama ya...

MAPISHI: Namna ya kupika minofu ya kuku iliyotiwa asali

Na MARGARET MAINA mwmaina@ke.nationmeidia.com ULAJI wa nyama ya kuku una manufaa mengi kwa mwili wa binadamu. Husaidia upatikanaji...

Kifaa cha kisasa cha kufugia nyuni

NA RICHARD MAOSI Teknolojia ya kisasa imekuja na mbinu nyingi za kuboresha ufugaji, hasa kwa wakulima wadogo na wakubwa waliojikita...

KIU YA UFANISI: Kwa mtaji wa kuku wa Sh10,000 hujipatia Sh20,000 kila mwezi

Na PETER CHANGTOEK ALIANZA kujishugulisha na kilimo cha ufugaji wa kuku takribani mwaka mmoja uliopita, na kwa sababu zaraa hiyo...