Shirika hili linaitaka korti iwarudishe kazini makamishna wa IEBC waliojiuzulu

ABIUD OCHIENG na PETER MBURU SHIRIKA moja la kutetea haki limefika kortini likitaka makamishna watatu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka...

WANATAKAJE? Mzaha wao wa kung’atuka kisha kurejea ofisini wakosolewa

Na WAANDISHI WETU TANGU makamishna wawili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) warejee afisini ghafla, mnamo Ijumaa, miezi mitano...

IEBC: Wanaovuna bila jasho

BENSON MATHEKA na SAM KIPLAGAT MAKAMISHNA watatu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) waliotangaza kujiuzulu Aprili wanaendelea...

KURGAT: Serikali yalenga kumzima kwa kuwa ‘aliiba mamilioni Urusi’

Na CHARLES WASONGA WIZARA ya Mashauri ya Kigeni imeitaka Tume huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutomlipa aliyekuwa kamishna wake, Paul...

Makamishna wamtoroka Chebukati wakisema ameshindwa na kazi

Na JUMA NAMLOLA MWENYEKITI wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati Jumatatu ametorokwa na makamishna watatu wa tume...