Serikali italipa fidia ya Sh14 bilioni kwa walioshambuliwa na wanyamapori – Balala

Na ALEX KALAMA WAZIRI wa Utalii, Bw Najib Balala amehimiza Shirika la Wanyamapori (KWS), kujenga uhusiano mwema na jamii kwa...

Wanaswa wakisafirisha nyama ya nyati hadi Burma, Nairobi

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Shirika la Wanyamapori Nchini (KWS) Jumanne walinasa washukiwa watatu akiwemo mfanyabiashara mmoja wa...

Mbunge ashauri KWS kuajiri wawindaji haramu, eti wana ujuzi!

Na PETER MBURU MBUNGE wa Mwatate Andrew Mwadime amependekezea Shirika la Uhifadhi wa Wanyamapori (KWS) liwe likiajiri wawindaji haramu...

Uchangamfu KWS kutangaza mbuga kwa picha ya vifaru wakijamiiana

Na PETER MBURU SHIRIKA la Huduma kwa Wanyamapori (KWS) limewachangamsha Wakenya kwenye mitandao ya kijamii, baada ya kuchapisha picha ya...

Maafisa wa KWS motoni kwa kuua mwanamume na kulisha mamba mwili wake

NA CHARLES WASONGA MAAFISA sita wa Shirika la Wanyamapori Nchini (KWS) wanazuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Malindi kuhusiana na...

Ndovu 396 waliangamia 2018 – KWS

Na PETER MBURU JUMLA ya ndovu 396 waliaga dunia kutokana na sababu tofauti mwaka huu, ikilinganishwa na vifo 727 vya wanyama hao ambavyo...

Mbunge atisha kuchochea wakazi kuua wanyamapori wanaowavamia

Na CHARLES WASONGA MBUNGE wa Mwatate Andrew Mwadime ameonya kuwa huenda akachochea wakazi wa eneo bunge lake kuwashambulia wanyamapori...