Blue Boys yatwaa ushindi wa KYSD

Na JOHN KIMWERE TIMU ya wavulana ya Blue Boys kwa wasiozidi umri wa miaka kumi imejitahidi na kuibuka mabingwa wa Ligi ya Kinyago Youth...

Siri ya Young Elephant kutetemesha ligi

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Young Elephant imeibuka moto wa kuotea mbali kwenye mechi za kuwania Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa miaka 12...

Young Elephant yaicharaza Arizen

Na JOHN KIMWERE YOUNG Elephant FC imelaza Arizen Soccer Academy kwa mabao 7-0 na kuendelea kutembeza vipigo dhidi ya wapinzani wao...

Sharp Boys walenga kuwasha moto ligi ya KYSD 

Na JOHN KIMWERE  TIMU ya Sharp Boys ni miongoni mwa vikosi 18 vinavyopigania ubingwa wa Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa miaka 12...

Kayaba Youth waapa kubeba taji la KYSD

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Kayaba Youth Sports Academy (KYSA) ni kati ya vikosi vipya vinavyoshiriki kampeni za kuwania Ligi ya KYSD kwa...

Kinyago, Sharps Boys vitani KYSD

NA JOHN KIMWERE KIVUMBI kikali kinanukia Jumamosi hii Kinyago United itakapoingia mzigoni kukabili Sharp Boys kwenye mechi ya Ligi ya...

Pro Soccer yaitoa Kinyago United kijasho

Na JOHN KIMWERE TIMU ya Pro Soccer Academy ilishindwa kiume ilipoteleza na kuchapwa bao 1-0 na Kinyago United kwenye mechi ya Ligi ya...

Kinyago yatetemesha, Volcano yajikwaa KYSD

Na JOHN KIMWERE KINYAGO United iliendelea kutesa wapinzani wengine kwenye kampeni za Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa miaka 14 huku...

Kinyago na Volcano vitani ligi ya KYSD

Na JOHN KIMWERE KAMPENI za kuwania ubingwa wa Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa miaka 14 zinatazamiwa kuendelea kuchacha wikendi hii...

Kinyago na Volcano zazidi kuwika

Na JOHN KIMWERE CHIPUKIZI wa Kinyago United na Volcano FC waliendelea kunyorosha wapinzani wao kwenye Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa...

Kinyago na Volcano zatazamiwa kutesa wikendi

Na JOHN KIMWERE KINYAGO United na Volcano FC kila moja inapigiwa chapuo kufanya kweli wikendi hii kwenye kampeni za michuano ya Ligi ya...

Kinyago United wazidi kutesa KYSD

Na JOHN KIMWERE CHIPUKIZI wa Kinyago United waliendelea kuimarisha kampeni zake kutetea ubingwa wa Ligi ya KYSD kwa wasiozidi umri wa...