Washukiwa wa ukahaba jijini walala fofofo kortini

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE (pichani) aliyekuwa miongoni mwa wachuuzi zaidi ya 200 waliokamatwa wakikaidi sheria za kaunti ya Nairobi...