Messi afunga mabao mawili na kusaidia PSG kutoka nyuma na kuzamisha RB Leipzig kwenye UEFA

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifunga mabao mawili na kusaidia waajiri wake Paris Saint-Germain (PSG) kutoka nyuma na kuzamisha chombo cha...

Rennes wapiga PSG breki kali katika kampeni za Ligue 1

Na MASHIRIKA PARIS Saint-Germain (PSG) walipokezwa kichapo cha kwanza katika Ligi Kuu ya Ufaransa (Ligue 1) mnamo Jumapili baada ya...

Messi kusalia nje ya kikosi cha PSG kitakachomenyana na Metz ligini

Na MASHIRIKA LIONEL Messi ameachwa nje ya kikosi kitakachotegemewa na Paris Saint-Germain (PSG) dhidi ya Metz katika Ligi Kuu ya...

PSG yapepeta Lyon kwenye mechi ya kwanza ya Messi katika uwanja wa nyumbani

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alichezeshwa na Paris Saint-Germain (PSG) kwa mara ya kwanza katika uwanja wa nyumbani wa Par des Princes ila...

Messi ampita Pele na kuweka rekodi mpya ya ufungaji mabao Amerika Kusini

Na MASHIRIKA LIONEL Messi amempita jagina Pele na kuwa mfungaji bora wa muda wote wa soka ya wanaume kwenye mechi za kimataifa miongoni...

PSG tayari kumsajili Ronaldo kucheza na Messi

PARIS, Ufaransa Paris Saint-Germain (PSG) imepanga kumsajili Cristiano Ronaldo acheze na Lionel Messi iwapo Kylian Mbappe ataamua...

Messi kusubiri zaidi kuchezea PSG baada ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki wa kikosi hicho

Na MASHIRIKA LIONEL Messi atatambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain (PSG) hii leo japo hatachezeshwa na kikosi hicho...

Malengo yangu ni kushindia PSG taji la kwanza la UEFA – Messi

Na MASHIRIKA LIONEL Messi amesema kubwa zaidi katika maazimio yake kwa sasa ni kuongoza miamba wa soka ya Ufaransa, Paris Saint-Germain...

Messi sasa mali rasmi ya PSG baada ya kutia saini mkataba wa miaka miwili

Na MASHIRIKA LIONEL Messi amesajiliwa na Paris Saint-Germain (PSG) ya Ufaransa kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kuagana na Barcelona...

Utata zaidi kuhusu mustakabali wa Messi kitaaluma Barcelona ikienda kortini kuzuia uhamisho wake hadi PSG

Na MASHIRIKA MPANGO wa Lionel Messi kuingia katika sajili rasmi ya Paris Saint-Germain (PSG) umekumbwa na utata zaidi baada ya mawakili...

Lionel Messi akubali kusalia Barcelona kwa mshahara uliopunguzwa kwa asilimia 50

Na MASHIRIKA LIONEL Messi amekubali kusalia Barcelona kwa mkataba mpya wa miaka mitano ila kwa mshahara ambao ni nusu ya ujira aliokuwa...

Barcelona wamtia Messi kwenye orodha ya masogora watakaowachezea muhula ujao wa 2021-22

Na MASHIRIKA LIONEL Messi atasalia kuwa mchezaji wa Barcelona baada ya kikosi hicho kumtia katika orodha ya wachezaji ambao wamesajiliwa...