Argentina wakung’uta Brazil na kutwaa taji la Copa America

Na MASHIRIKA SUBIRA ya Lionel Messi kutia kapuni taji la kwanza katika soka ya kimataifa hatimaye ilimvutia heri Jumamosi usiku Argentina...

Messi aongoza Argentina kucharaza Ecuador na kuingia nusu-fainali za Copa America

Na MASHIRIKA NYOTA Lionel Messi alifunga bao kupitia mpira wa ikabu na kuchangia magoli mawili mengine katika ushindi wa 3-0...

Lionel Messi sasa ni mchezaji huru baada ya mkataba wake na Barcelona kutamatika rasmi

Na MASHIRIKA LIONEL Messi ambaye ni miongoni mwa wanasoka bora zaidi duniani, sasa hana klabu na ni mchezaji huru baada ya mkataba wake...

Lionel Messi avunja rekodi na kuweka historia akichezea Argentina kwenye Copa America

Na MASHIRIKA NYOTA Lionel Messi aliweka rekodi ya kuwa mchezaji ambaye sasa amewajibishwa na Argentina katika idadi kubwa zaidi ya...

Yafichuka Messi ana mipango ya kuyoyomea Amerika baada ya Kombe la Dunia 2022 kisha kurejea Barcelona kuwa kocha

Na MASHIRIKA BARCELONA wameimarisha juhudi za kushawishi nyota Lionel Messi kutia saini mkataba mpya kabla ya kandarasi yake ya sasa...

Argentina na Chile waambulia sare ya 1-1 kwenye Copa America

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifunga bao kupitia mpira wa ikabu na kusaidia Argentina kusajili sare ya 1-1 dhidi ya majirani zao Chile...

Barcelona wampa Messi mkataba mpya wa miaka miwili

Na MASHIRIKA MATUMAINI ya Manchester City na Paris Saint-Germain (PSG) kujitwalia huduma za nyota Lionel Messi yanazidi kudidimia baada...

Barcelona yampa Lionel Messi likizo ya mapema kujiandaa kwa fainali za Copa America

Na MASHIRIKA LIONEL Messi atakosa mchuano wa mwisho wa Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) msimu huu utakaowakutanisha waajiri wake...

Messi afunga mabao mawili na kuongoza Barcelona kucharaza Valencia 3-2 kwenye La Liga

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifunga mabao mawili na kupoteza penalti katika gozi la Ligi Kuu ya Uhispania (La Liga) lililowashuhudia...

Messi afunga mabao mawili na kuongoza Barcelona kupepeta Getafe 5-2 ligini

Na MASHIRIKA NYOTA Lionel Messi alifunga mabao mawili na kusaidia Barcelina kuwapaa hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa jedwali la...

Messi afunga mawili akiweka rekodi ya kuchezea Barcelona idadi kubwa zaidi ya mechi

Na MASHIRIKA LIONEL Messi, 33, alisherehekea rekodi ya kufikia jumla ya mechi 768 akichezea Barcelona kwa kupachika wavuni mabao mawili...

Messi aongoza Barcelona kupepeta Sevilla ligini na kupunguza pengo la alama kati yao na Atletico Madrid

Na MASHIRIKA LIONEL Messi alifunga bao na kuchangia jingine katika ushindi wa 2-0 uliosajiliwa na Barcelona dhidi ya Sevilla katika Ligi...