Uchungu wa ‘lockdown’

Na BENSON MATHEKA MARUFUKU ya kutotoka na kuingia katika Kaunti za Nairobi, Machakos, Kiambu, Nakuru na Kajiado kwa muda...

Uhuru afunga kaunti 5

Na BENSON MATHEKA WAKENYA zaidi ya milioni 12 wa kaunti za Nairobi, Kiambu, Kajiado, Machakos na Nakuru wamepunguziwa uhuru wa kusafiri,...

Kaunti za Nairobi, Kajiado, Kiambu, Nakuru na Machakos zafungwa kuzuia corona

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta ameamuru kusitishwa kwa safari za kuingia na kuondoka katika kaunti za Nairobi, Kiambu, Machakos,...

‘Hakuna zuio la watu kutoruhusiwa ama kuingia au kuondoka katika baadhi ya kaunti’

Na CHARLES WASONGA RAIS Uhuru Kenyatta amepuuzilia mbali uvumi kwamba anapanga 'kufunga nchi' kufuatia ongezeko la visa vya maambukizi...

Wasafiri wataabika kukwama mpakani

Na LAWRENCE ONGARO WASAFIRI kutoka Thika kuelekea Murang' a walikwama katika mpaka wa kaunti hizo mbili. Magari ya usafiri na ya...

Wakenya wanavyotumia ujanja kuingia na kutoka Nairobi

JUMA NAMLOLA, JOSEPH OPENDA, SIMON CIURI Na JOSEPH NDUNDA WAKAZI wa kaunti zinazopakana na Nairobi na viunga vyake wamelazimika kuvumbua...

Mikakati hii si ya kuwatesa, ni ya kuwalinda – Rais Kenyatta

Na SAMMY WAWERU Rais Uhuru Kenyatta ametetea vikali mikakati aliyotoa jana inayodhibiti shughuli za usafiri na uchukuzi kaunti...

Nairobi, Pwani zafungwa

Na BENSON MATHEKA SERIKALI Jumatatu ilitangaza kuwafungia mahala waliko wakazi wa maeneo yaliyo na visa vingi vya virusi vya...

Seneta aunga mkono wito Wakenya wafungiwe nyumbani

BENSON AMADALA na VITALIS KIMUTAIĀ  SENETA wa Kakamega, Cleophas Malala, ameunga mkono kauli ya Chama cha Walimu Nchini (KNUT) kwamba,...

Peter Kenneth amtaka Rais Kenyatta atangaze ‘lockdown’

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA mbunge wa Gatanga Peter Kenneth sasa anamtaka Rais Uhuru Kenyatta atangaze amri ya kutotoka nje kote nchini...