Covid: Wanaohepa chanjo kuadhibiwa

Na OSCAR KAKAI GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo ametishia kuwafuta kazi maafisa wa kaunti ambao hawatajitokeza...

Matokeo ya sensa kaunti yangu yanaogofya – Lonyangapuo

Na Oscar Kakai GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Profesa John Lonyangapuo amepuuzilia mbali matokea ya sensa ya kaunti hiyo akidai...

Poghisio amkejeli Lonyangapuo kubadilisha mawaziri kila mara

Na OSCAR KAKAI SENETA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Bw Samuel Poghisio amemsuta Gavana John Lonyangapuo kwa jinsi anavyobadilisha baraza...

Elimu imefanya wizi wa mifugo kupungua, Lonyagapuo asema

Na Oscar Kakai Gavana wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Profesa John Lonyangapuo, amesema kuwa visa vya wizi wa ng’ombe katika eneo hilo...

‘Kijana fupi nono round’ akataa kazi ya Ruto

Na OSCAR KAKAI MWANASIASA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Dennis Ruto Kapchok, almaarufu Mulmulwas, amekataa kazi aliyoahidiwa na Naibu...

Hatimaye Gavana Lonyangapuo arudishiwa ulinzi

Na Oscar Kakai GAVANA wa Kaunti ya Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo amerudishiwa walinzi wake, miezi minane baada ya kupokonywa na...

Ukabila umepitwa na wakati, tupendane – Lonyangapuo

Na PETER MBURU GAVANA wa West Pokot John Lonyangapuo amerejea vinywani mwa watu tena, kufatia wito wake mpya kwa wakazi wa kaunti yake,...

Lonyangapuo atetea naibu wake kuhudumia wakazi akiwa Amerika

Na PETER MBURU GAVANA wa West Pokot Prof John Lonyangapuo amemtetea naibu wake Dkt Nicholas Atudonyang’ kutokana na hali yake...

Lonyangapuo awataka walionyakua ardhi ya umma wairejeshe upesi

Na OSCAR KAKAI GAVANA wa Pokot Magharibi, Prof John Lonyangapuo ameaonya vikali wanyakuzi wa ardhi na wanaohusika na ufisadi katika...