NJENJE: Matumizi ya pesa kwa njia ya simu yaongezeka

Na WANDERI KAMAU UTUMAJI wa pesa kwa njia ya simu uliongezeka zaidi mwaka huu ikilinganishwa na miaka ya nyuma, hali inayoonyesha dalili...

FAUSTINE NGILA: Safaricom ikomeshe teknolojia ya kidole kwa M-Pesa, ni hatari

Na FAUSTINE NGILA LABDA hujasikia hili lakini linakuathiri moja kwa moja kwa kuwa wewe ni mteja wa M-Pesa. Majuzi rafiki yangu alimfaa...

Wanawake Kenya hulipa maradufu kupata huduma za M-Pesa ikilinganishwa na wanaume – Utafiti

NA FAUSTINE NGILA Wanawake wa Kenya wanalipa mara dufu kuliko wanaume kupata huduma za pesa kwa njia ya simu, hii ni kulingana na data...

Ada za kutuma pesa kwa simu zarejea Januari

Na PAUL WAFULA UTAKUWA mwezi mgumu wa Januari kwa Wakenya baada ya Benki Kuu ya Kenya (CBK) Alhamisi kurejesha ada za kutuma Sh1,000...

Huduma za M-Pesa kuzimwa kwa saa 12

Na CHARLES WASONGA KWA mara nyingine wateja wa huduma za kupokea na kutuma pesa kwa njia ya simu; M-Pesa, watakosa huduma hiyo kwa saa...

Kanisa la ACK kupokea sadaka kwa M-Pesa kuzima ufisadi

Na KNA ASKOFU Mkuu wa Kanisa Anglikana (ACK) Jackson ole Sapit, amefichua mipango ya kanisa hilo kuanza kupokea sadaka kwa njia ya simu...

Kizimbani kwa kuiba hela kwa M-Pesa ya mwendazake

Na RICHARD MUNGUTI MFANYAKAZI wa kampuni kubwa zaidi ya mawasiliano Afrika Mashariki, Safaricom alishtakiwa kwa kuiba pesa za mtu...

Fuliza ya Safaricom kuwezesha wasio na hela kuzituma kupitia M-Pesa

Na BERNARDINE MUTANU WATUMIZI wa M-Pesa sasa wanaweza kununua bidhaa au kutuma pesa wakiwa hawana pesa katika akaunti zao za...

Serikali kuchunguza kukatika kwa huduma za M-Pesa

Na LEONARD ONYANGO WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia (ICT) Joe Mucheru ameagiza Mamlaka ya mawasiliano (CA) kushirikiana na...

Wapenzi wa M-Pesa sasa kutuma hela moja kwa moja hadi Uchina

Na BERNARDINE MUTANU WATUMIZI wa M-Pesa sasa wanaweza kutuma pesa moja kwa moja hadi Uchina kwa kutumia mtandao mkubwa zaidi nchi humo,...

Wakenya sasa wamlilia Okiya Omtatah awakomboe, wamfadhili kupitia M-Pesa

Na PETER MBURU MWANAHARAKATI Okiya Omtatah ambaye amegeuka mtetezi mkuu wa Wakenya kwenye masuala ya umuhimu wa kitaifa amezidi kupokea...

Huenda ada ya kutoa Sh500 M-Pesa ikaongezeka kutoka Sh28 hadi Sh46

Na PETER MBURU Wakenya wanakumbana na hali ngumu ya maisha, kufuatia mapendekezo kwenye sheria ya kutoza ushuru, ambayo yatapandisha...