Serikali yatisha kuwapiga kalamu madaktari wagonjwa wakizidi kuteseka

BENSON MATHEKA, DIANA MUTHEU, TITUS OMINDE na LEONARD ONYANGO HUDUMA za matibabu ziliendelea kukwama katika hospitali za umma kote...

Hofu ya maafa mgomo ukichacha

Na WAANDISHI WETU MAAFA yanawakodolea macho wagonjwa nchini baada ya wahudumu wa afya wanaogoma kuacha hospitali na vituo vya afya vya...

Madaktari washinikiza kupewa bima ya afya

JUMA NAMLOLA na WINNIE ATIENO MADAKTARI katika hospitali za umma Kaunti ya Mombasa, sasa wanataka serikali iwape bima ya afya huku visa...

‘Madaktari wa Cuba watalipwa mishahara sawa na madaktari wa Kenya’

Na CHARLES WASONGA SERIKALI sasa inasema kuwa madaktari 20 kutoka Cuba waliowasili nchini Kenya Ijumaa jioni kupiga jeki vita dhidi ya...

Madaktari walia Serikali haiwajali wakitoa matibabu

VALENTINE OBARA na WINNIE ATIENO MADAKTARI na wahudumu wa afya wamelalamika kwamba, Serikali haijatilia maanani usalama wao...

Korti yaelezwa jinsi madaktari wa Cuba walivyotekwa nyara

Na MANASE OTSIALO MAHAKAMA ya Mandera, Alhamisi ilisimuliwa matukio ya jinsi madaktari wawili wa Cuba mjini Mandera walivyotekwa nyara...

Madaktari na wauguzi wakaa ngumu wagonjwa wakifa

FARHIYA HUSSEIN, WINNIE ATIENO na ANGELINE OCHIENG WAHUDUMU wa afya na madaktari katika kaunti tofauti wameapa kuendeleza migomo yao...

Chama sasa chataka Kaunti ziajiri madaktari waliohitimu

Na WINNIE ATIENO CHAMA cha madaktari nchini kinataka serikali za kaunti kuajiri madaktari zaidi ya 2,500 waliofuzu ili kukabiliana na...

Madaktari Makueni waweka historia

Na PIUS MAUNDU MADAKTARI wa upasuaji katika hospitali ya Makindu, Kaunti ya Makueni wamefanikiwa kubadilisha goti la mgonjwa lililokuwa...

Madaktari waonywa dhidi ya kuanika siri za wagonjwa mitandaoni

Na FRANCIS MUREITHI MADAKTARI vijana wanaohitimu kutoka vyuo vikuu vya umma wameonywa dhidi ya kujadili hali za wagonjwa wao katika...

Madaktari 2,275 wafutwa kwenye sajili ya KMPDB

Na PETER MBURU BODI ya Kusimamia Madaktari Nchini (KMPDB) Jumatano iliwaondoa madaktari 2,275 kutoka kwa sajili yake baada yao kukosa...

155 waliobobea katika KCSE 2018 kusomea udaktari

Na WANDERI KAMAU IDADI kubwa ya waliong’aa kwenye mtihani wa Kidato cha Nne (KCSE) 2018 watasomea udaktari, kulingana na ripoti ya...