Magavana wapendekeza mfumo mseto na mgao wa asilimia 45

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA sasa wamebadili msimamo wao wa awali kuhusu mfumo wa utawala wa ubunge na badala yake kuunga mkono...

KUMBUKUMBU 2019: Magavana watatu waanza mwaka mpya wakiwa nje ya ofisi

Na RICHARD MUNGUTI MAGAVANA watatu wanauanza mwaka huu wakiwa hawawezi kukanyanga afisini kutokana na kesi za ufisadi wa mamia ya...

Magavana kupinga uamuzi wa kufurushwa ofisini

Na AGGREY OMBOKI BARAZA la Magavana linawazia kwenda mahakamani kupinga agizo ambalo huhitaji magavana kutoingia afisini wanaposhtakiwa...

Magavana wahepa Ruto wakihofia kuandamwa

Na NDUNGU GACHANE MAGAVANA kutoka eneo la Mlima Kenya wameanza kumhepa Naibu Rais William Ruto wakiogopa kujipata katika hali sawa na...

Takwimu za sensa ni feki sana – Magavana

Na WAANDISHI WETU MATOKEO ya Sensa yaliyotolewa Jumatatu yameibua joto huku baadhi ya wanasiasa na wataalamu wakitilia shaka uhalisi...

Magavana hawakuhusishwa katika mradi wa ukodishaji wa vifaa vya matibabu – Oparanya

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA wamesema kuwa serikali ya kitaifa haikuwahusisha katika mpango wa ukodishaji wa vifaa vya matibabu (MES) na...

MWITHIGA WA NGUGI: Wakenya hawajavuna matunda ya ugatuzi miaka sita baadaye

Na MWITHIGA WA NGUGI NI miaka tisa sasa tangu Wakenya wakumbatie mfumo wa utawala wa ugatuzi baada ya kupitisha Katiba Mpya Mwaka...

Magavana wakejeli ripoti kuwahusu, watisha kushtaki waliofanya utafiti

Na CAROLYNE AGOSA BARAZA la Magavana (CoG) limepuuzilia mbali ripoti ya shirika moja la Uingereza kuhusu utendakazi wa magavana,...

Hekima ya seneti yafungulia magavana mifereji ya fedha

Na CHARLES WASONGA MAGAVANA nchini sasa wanaweza kupumua baada ya maseneta kulegeza msimamo wao na kukubali mgao wa Sh316.5 bilioni kwa...

MUTUA: Majukumu ya magavana wasaidizi yawekwe wazi

Na DOUGLAS MUTUA WALE wanaotaka Katiba ya Kenya irekebishwe wakifanikiwa, basi mojawapo ya marekebisho lihusishe usimamizi wa serikali...

Magavana kusimamisha huduma za kaunti zote 47

Na COLLINS OMULO MAGAVANA wametishia kusitisha shughuli katika serikali za kaunti kote nchini kuanzia Septemba ikiwa mzozo kuhusu...

Magavana sasa wataka kikao cha dharura na Rais

Na BENSON AMADALA BARAZA la Magavana (CoG) linamtaka Rais Uhuru Kenyatta kuandaa kikao cha dharura ili kutafuta suluhisho la mzozo wa...