Covid-19: Kisa cha kwanza Embu charipotiwa gerezani

NA MWANDISHI WETU Huku janga la corona likiendelea kuenea kila siku, kisa cha kwanza gerezani kimeripotiwa. Mahabusu mmoja katika...

CORONA: Magereza ya Thika yanyunyiziwa dawa

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu chini ya idara ya Afya ya umma iliendesha zoezi la kunyunyiza dawa katika gereza la Thika...

Wafungwa 39 waachiliwa kupunguza msongamano magerezani

PHILIP MUYANGA NA FAUSTINE NGILA Wafungwa 39 Jumamosi wameachiliwa kutoka jela za Mombasa katika mpango wa Idara ya Magereza wa...

WASONGA: Idara ya Magereza ilinde hadhi na maisha ya wafungwa

Na CHARLES WASONGA KENYA inapongezwa kama taifa lililo na Katiba inayotetea haki za watu wa matabaka yote, wakiwemo...

Ushoga waeneza Ukimwi magerezani

MARY WANGARI Na ANGELA OKETCH IDADI kubwa ya wafungwa katika magereza ya Kenya wameambukizwa Ukimwi kutokana na kuongezeka kwa visa vya...

Gharama ya kuendesha magereza kupunguzwa

Na LUCAS BARASA SERIKALI Jumatano inatarajiwa kutia saini mwafaka unaolenga kupunguza gharama ya kuendesha magereza ya humu nchini na...

Idara ya magereza yaagizwa imtengee nafasi mshukiwa mwenye kilo 150

Na RICHARD MUNGUTI IDARA ya Magereza ilitakiwa Jumanne iweke mipango ya malazi kwa mshukiwa mmoja wa ufisadi kutokana na uzani wake mkubwa...