Magoha akasirishwa na maafisa wake kwa kufeli kucheza video

Na CHARLES WASONGA KIOJA kilishuhudiwa Alhamisi katika Taasisi ya Kuandaa Mtaala Nchini (KICD), Nairobi, Waziri wa Elimu alipozomea...

Wabunge watisha kumtimua Magoha

Na Florah Koech WABUNGE watatu kutoka Kaunti ya Baringo, wametishia kuwasilisha hoja ya kumtimua Waziri wa Elimu Profesa George Magoha...

Mvulana aliyeitwa shule ya wasichana sasa apata afueni

Na Francis Mureithi WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, amekubali lawama ambapo mwanafunzi mvulana katika Kaunti ya Bungoma aliitwa...

KCSE: Afisa abambwa na Magoha akisaidia watahiniwa kwa udaganyifu

Na SAMMY WAWERU WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha kwa mara nyingine ametoa onyo kali kwa watahiniwa wa mtihani wa kitaifa kidato cha...

KCSE: Magoha aamrisha polisi wapokonywe simu wasifanikishe udanganyifu wa mitihani

NA MWANGI MUIRURI WAZIRI wa Elimu Prof George Magoha Jumatatu ametoa amri kuwa maafisa wa polisi wanaolinda harakati za mtihani wa KCSE...

SHULE: Wadau muhimu ngazi zote za serikali waelezea utaratibu ulioko

Na MWANDISHI WETU SERIKALI imesema Jumapili kwamba mipango na mikakati yote imewekwa kuhakikisha shule zinafunguliwa kesho...

Huenda baadhi ya watahiniwa wakakosa mitihani ya KCPE, KCSE

Na GEORGE ODIWUOR WATAHINIWA wa mtihani wa Darasa la Nane (KCPE) na Kidato cha Nne (KCSE) katika shule za kibinafsi ambazo zimefungwa na...

Serikali yamkata pembe Magoha kwa kumdhulumu afisa wizarani

Na CHARLES WASONGA TUME ya Utumishi wa Umma (PSC) Ijumaa ilimpokonya Waziri wa Elimu Prof George Magoha mamlaka ya kusimamia wafanyakazi...

Sitaomba msamaha, Magoha awaambia wakosoaji

Na LILLIAN MUTAVI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha, amesisitiza kwamba, hatabadilisha mtindo wake wa kufanya kazi, licha ya kutakiwa...

Magoha kuandaa kikao cha wadau kujadili ratiba mpya

Na FAITH NYAMAI WAZIRI wa Elimu, Prof George Magoha ameitisha mkutano wa wadau katika sekta ya elimu wiki hii kujadili kalenda mpya ya...

Wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu

NA FAUSTINE NGILA WIZARA ya Elimu imewataka wanafunzi wa Kidato cha Nne, Darasa la Nane na Darasa la Nne kurejea shuleni Jumatatu ijayo...

Waziri mtatanishi

Na MWANDISHI WETU MISIMAMO ya Waziri wa Elimu, Prof George Magoha kuhusu ufunguzi wa shule tangu zilipofungwa Machi kwa sababu ya janga...