NMS kuzika miili 166 familia zisipoichukua

Na CHARLES WASONGA VIJUSI 54 na miili ya watoto 34 walio na umri wa chini ya mwezi mmoja, ni miongoni mwa jumla ya miili 166 ambayo...

Mhudumu wa zamani akamatwa kwa ‘kusumbua’ maiti mochari

Na Evans Kipkura MAAFISA wa usalama katika Hospitali ya Rufaa ya Iten, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, Jumatano walimkamata mhudumu wa zamani...

Waombolezaji wahepa na maiti

Na RUSHDIE OUDIA MAELFU ya waombolezaji Ijumaa waliponyoka na mwili wa mwimbaji wa nyimbo za Kijaluo maarufu kama Ohangla, Benard...

Asimulia sasabu ya kugura kazi ya upishi akawa mwosha kwa mochari

Na PHYLLIS MUSASIA Uraibu wake wa kupika vyakula mbalimbali vilivyoongezwa ladha na kurembeka, ndio kazi iliomwezesha kupata riziki ya...

Kaunti zafutilia mbali ada za mochari kupiga jeki vita dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona

Na CHARLES WASONGA SERIKALI kadha za kaunti nchini sasa zimeondoa ada ambazo mochari hutoza ili kuziwezesha familia zilizofiwa kuzika...

Miili inayoaminika ni ya mwanamke na wanawe wawili waliotoweka kiajabu yapatikana

Na NICHOLAS KOMU na CHARLES WASONGA MIILI mitatu inayoaminika kuwa ya mke wa mwanajeshi mmoja na wanawe wawili, waliotoweka majuma...

Mahakama yaelezwa jinsi ambavyo maiti zilipatikana

Na RICHARD MUNGUTI MAITI za wakili Willie Kimani, mteja wake na dereva wa teksi zilipatikana maafisa watatu wa polisi wa utawala...

MBURU: Mswada ukifaulu utazima hospitali kuzuilia wagonjwa, maiti

Na PETER MBURU MSWADA wa marekebisho kwenye Sheria ya Afya, unaopendekeza serikali iwe ikitengea hospitali za umma Sh4.8 bilioni ili...

Mganga wa TZ anayedai kufufua maiti akamatwa Taveta

Na LUCY MKANYIKA POLISI mjini Taveta, Kaunti ya Taita Taveta wamemtia mbaroni mwanamume aliyedai kumfufua kijana aliyefariki miaka...

Mwanamke kortini kwa mazoea ya kushiriki ngono na maiti

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMKE mfanyakazi wa mochari moja Marekani alikamatwa, baada ya kubainika kuwa mtoto ambaye alijifungua...

‘Nimechoma maiti 8,000 Kariokor. Ni ajira ninayoienzi mno’

Na PETER MBURU Bw Robert Mwania, mwanamume ambaye aliiteketeza maiti ya aliyekuwa Afisa Mkuu Mtendaji (CEO) wa kampuni ya mawasiliano ya...

Asimulia mahakama daktari alivyobeba moyo na figo ya maiti

Na CHARLES WANYORO DAKTARI Jumatano alieleza mahakama ya Meru jinsi aliyekuwa mpasuaji mkuu wa maiti, Dkt Moses Njue alivyochukua moyo...