Malala na Echesa mafichoni wakisakwa na polisi kwa kuzua vurugu Matungu

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Kakamega Bw Cleophas Malala na aliyekuwa Waziri wa Michezo, Bw Rashid Echesa wanasakwa na maafisa wa polisi...

Mlinzi wa Malala akamatwa kwa kufyatua risasi hewani

Na SAMMY WAWERU Mlinzi wa Seneta wa Kakamega, Bw Cleophas Malala amekamatwa Alhamisi na maafisa wa polisi katika eneo la Matungu kwa...

Malala alia kuna wizi wa kura Matungu

Na SAMMY WAWERU SENETA wa Kakamega Cleophas Malala amesema chama cha ANC hakitakubali matokeo ya kura ya eneobunge la Matungu, Kaunti ya...

Pigo kwa Mudavadi hatua ya kutimua Malala ikigonga ukuta

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi alipata pigo jingine Jumanne wakati hatua ya...

Seneta Malala kusimamia mchakato wa kumtetea Waiguru Seneti

IBRAHIM ORUKO Seneta wa Kakamega Cleophas Malala alichaguliwa kuwa katibu wa wanakamati 11 watakao chunguza kung'olewa mamlakani kwa...

Seneta ataka magavana wasimamie usalama

Na SHABAN MAKOKHA SENETA wa Kakamega Cleophas Malala sasa anataka Katiba ifanyiwe marekebisho ili kuwezesha serikali za kaunti...

RIPOTI MAALUM: Echesa taabani kuagiza picha zake za ngono ziwekwe sura ya Malala

Na CHARLES WASONGA VITA vya kisiasa baina ya Waziri wa Michezo Rashid Echesa na Seneta wa Kakamega Cleophas Malala sasa vimechukua...

Msamaha wa Atwoli wakosa kutuliza joto

Na BENSON AMADALA na DERICK LUVEGA MSAMAHA wa Katibu Mkuu wa Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi (Cotu), Bw Francis Atwoli, kwa kinara...