Manchester City yapewa idhini ya kuvaana na Real Madrid uwanjani Etihad

Na CHRIS ADUNGO MCHUANO wa mkondo wa pili wa hatua ya 16-bora ya Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kati ya Manchester City ya Uingereza na Real...

Manchester City waponda Burnley na kuchelewesha zaidi sherehe ya Liverpool

Na MASHIRIKA PHIL Foden na Riyad Mahrez walifunga mabao mawili kila mmoja na kuchangia ushindi mnono wa 5-0 uliosajiliwa na Manchester...

Kesi ya rufaa ya Manchester City dhidi ya marufuku ya Uefa kuanza Juni 8

NA CHRIS ADUNGO KESI ya rufaa ya Manchester City dhidi ya marufuku kusalia nje ya kivumbi cha Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) kwa kipindi cha...

CORONA: Pep Guardiola afanya hisani

Na MASHIRIKA BARCELONA, UHISPANIA KOCHA Pep Guardiola wa Manchester City ametoa msaada wa Sh129 milioni ili kusadia waathiriwa wa...

Pep awamiminia sifa tele vijana wake

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza KOCHA Pep Guardiola alivulia kofia vijana wake wa Manchester City kwa kuonyesha ujasiri mkubwa,...

MAN-CITY KINANUKA: City kupelekea Burnley hasira

Na MASHIRIKA MANCHESTER, UINGEREZA MANCHESTER City watakuwa leo Jumanne wageni wa Burnley katika mchuano wa Ligi Kuu ya Uingereza...

HAWASHIKIKI! Manchester City kama vile wameanza kukata tamaa

Na MASHIRIKA MERSEYSIDE, UINGEREZA KOCHA Pep Guardiola amesema hana uhakika iwapo kikosi chake cha Manchester City kitaweza kuziba...

Manchester City ndani ya robo-fainali Carabao Cup

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza MABINGWA watetezi, Manchester City wamefuzu kwa robo-fainali ya Carabao Cup baada ya kuinyuka...

CITY NOMA: Manchester City yaipiga Atalanta 5-1

Na MASHIRIKA MANCHESTER, Uingereza STRAIKA Raheem Sterling alifunga mabao matatu kwa mara ya kwanza katika michuano ya Klabu Bingwa...

ADUNGO: Tusidanganyane, ligi kuu msimu huu ni ya farasi 2; Liverpool na Manchester City

Na CHRIS ADUNGO MANCHESTER City walifanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) msimu uliopita. Masogora hawa wa kocha...

NYOTA PEKEE: Manchester City yafuta aibu ya Uingereza

Na MASHIRIKA HARKIV, Ukraine MANCHESTER City iliondolea timu za Uingereza aibu ya kuanza michuano ya Klabu Bingwa Ulaya vibaya baada...

MAN CITY YAPONEA: Timu kuendelea kusajili wachezaji

Na MASHIRIKA MANCHESTER City wameponea kupigwa marufuku ya usajili wachezaji baada ya kukubali walivunja sheria za kusaini wachezaji...