Hisia mseto Wakenya wakiambiwa sasa barakoa si lazima

NA MWANGI MUIRURI HATUA ya Waziri wa Afya Bw Mutahi Kagwe, Ijumaa ya kuondoa ulazima wa kuvaa barakoa imetajwa na wengi kama mwisho wa...

Kamishna aagiza wauzaji wa barakoa feki wanaswe

Na TOM MATOKE MAAFISA wa Usalama katika Kaunti ya Nandi wameagizwa kukamata wafanyabiashara wanaouza barakoa feki. Kamishna wa Kaunti...

Kamatakamata ya wasiovalia maski yafika mitaani

Na SAMMY WAWERU MAAFISA wa polisi wamefanya msako mkali Jumatano katika eneo la Zimmerman, kiungani mwa jiji la Nairobi kutia nguvuni...

Wageni kutoka Tanzania kuwekwa karantini Mombasa

WINNIE ATIENO na IAN BYRON SERIKALI ya Kaunti ya Mombasa imebuni mikakati mipya ya kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya virusi vya...

Msanii wa Rhumba awapa wakazi barakoa

NA CHARLES ONGADI, MTWAPA, KILIFI SHUGHULI za kawaida zilisimama kwa muda mjini Mtwapa kaunti ya Kilifi baada ya mwanamuziki maarufu...

SHINA LA UHAI: Hofu ya makali ya virusi vipya vya corona

Na LEONARD ONYANGO WANASAYANSI wanaendelea na uchunguzi ili kubaini madhara ya aina mpya ya virusi vya corona vilivyogunduliwa humu...

Kitendawili cha barakoa

NA PAULINE ONGAJI WIKI moja baada ya shule kufunguliwa – baada ya wanafunzi kukaa nyumbani kwa muda wa miezi kumi kufuatia janga la...

Magufuli ampongeza waziri wa China kwa kutovaa maski

NA MASHIRIKA RAIS John Magufuli wa Tanzania amempongeza waziri kutoka China aliye ziarani nchini humo kwa kutovaa barakoa, akidai hilo...

Kamata kamata ya polisi kwa wasiovalia maski Krismasi ikianza

Na SAMMY WAWERU Maafisa wa polisi jijini Nairobi na viunga vyake wanaendeleza msako mkali kwa wanaopuuza kuvalia maski wakiwa katika...

CHAGUZI NDOGO: Hakuna kupiga kura bila barakoa

Na CHARLES WASONGA TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imewaonya wapigakura watakaoshiriki katika chaguzi ndogo zitakazofanyika...

Polisi adaiwa kuua mwanafunzi kwa kukosa kuvalia barakoa

Na SHABAN MAKOKHA HUZUNI ilitanda Jumamosi katika kijiji cha Kajei Enyuru, Kaunti ya Busia baada ya polisi kumpiga risasi na kumuua...

Haja ipo maski zivaliwe vizuri ili kuepeuka kuambukizwa corona

Na SAMMY WAWERU AGIZO la Rais Uhuru Kenyatta la Jumatano “hakuna kupata huduma ikiwa hujavalia maski” limezua hisia tofauti miongoni...