Korti yaruhusu kaunti izike miili iliyotelekezwa kwa zaidi ya miezi 8

Na Florah Koech SERIKALI ya Kaunti ya Baringo imepata amri ya korti ili kuzika miili ambayo haina wenyewe na imekuwa katika Hospitali ya...

Wanaofariki kuzikwa chini ya saa 72

Na SAMMY WAWERU SERIKALI imeamuru wanaofariki kuzikwa chini ya kipindi cha saa 72. Rais Uhuru Kenyatta alitoa amri hiyo kupitia...

Tangatanga watimua wahubiri na kuteka mazishi ya diwani

Na WAIKWA MAINA MAZISHI ya diwani Mburu Githinji wa wadi ya Rurii, Kaunti ya Nyandarua, Jumanne yaligeuka kuwa uwanja wa fujo baada ya...

Majonzi Nyagarama akizikwa na sifa tele

Na DIANA MUTHEU GAVANA wa Kaunti ya Nyamira, Bw John Nyagarama, alizikwa jana huku viongozi mbalimbali nchini wakimsifia kwa juhudi...

Wanasiasa wakosa adabu mazikoni

Na KITAVI MUTUA WANASIASA mnamo Jumanne waligeuza mazishi ya Seneta Boniface Kabaka wa Machakos kuwa jukwaa la kurushiana cheche za...

Wito Waislamu wajihadhari na hafla za mazishi

Na LEONARD ONYANGO BARAZA Kuu la Waislamu nchini (Supkem), limewataka Waislamu nchini kuendelea kujihadhari wakati wa kuandaa miili ya...

Msanii Omondi Long Lilo kuzikwa leo

NA DICKENS WESONGA Mwanamziki maarufu wa Benga Erick Omondi Odit anayejulikana kwa jina la kisanii Omondi Long Lilo atazikwa Ijumaa...

Serikali yazima wafu kuzikwa usiku

Na BENSON MATHEKA SERIKALI za kaunti zinafaa kuruhusu watu wanaokufa kutokana na virusi vya corona kupatiwa mazishi ya heshima badala ya...

Pigo kwa familia korti kuikataza kuzika jamaa wake upya

NA DICKENS WASONGA Mahakama Kuu ya Siaya Jumatatu imekataa kupeana amri kutolewa kwa mwili wa mgonjwa wa kwanza wa corona wa kaunti hiyo...

Ajabu ya mazishi kuhudhuriwa na watu 400 katika eneobunge la Mutahi Kagwe

By NICHOLAS KOMU Serikali imelaumiwa kwa kukosa kuzingatia usawa kuhusu jinsi kanuni zilizowekwa kuzuia kusambaa kwa virusi vya korona...

Corona yakata gharama kali ya mazishi nchini

Na BENSON MATHEKA GHARAMA ya kuandaa mazishi nchini imepungua pakubwa tangu serikali ilipoagiza miili kuzikwa saa 24 baada ya kifo...

CORONA: Watu kufuatilia mazishi ya wapendwa wao kupitia video mitandaoni

Na MASHIRIKA KITUO cha Kutafiti na Kudhibiti Maradhi (CDC) nchini Amerika kimewataka watu kuepuka misongamano katika matanga na badala...