Mtunze mbwa akufae zaidi

Na SAMMY WAWERU RATIBA ya kila siku ya Bw Nicholas Ng’ang’a, mfugaji wa mbwa Kiambu, huwa yenye shughuli tele. Araukapo alfajiri...

Kaunti ya Nairobi kutumia Sh100 milioni kuangamiza mbwa koko jijini

NA DANIEL OGETTA KAUNTI ya Nairobi imeshtua Wakenya kutangaza kuwa itatumia Sh100 milioni kuwaua mbwa koko katika kipindi cha mwaka...

Mchina taabani kwa kuuzia wateja hotidogi za nyama ya mbwa

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAUME raia wa China ambaye alikuwa akiishi Marekani alikamatwa na polisi wa New York, baada ya kujulikana kuwa...

Mbwa apiga kambi barabarani siku 80 baada ya mmiliki wake kufa

MASHIRIKA na PETER MBURU MBWA mmoja nchini China amevuta hisia za watu wengi, baada ya kukaa sehemu ya barabara ambayo mmiliki wake...

Mbwa ampiga risasi mwanamume

Na MASHIRIKA IOWA, AMERIKA MWANAMUME alishangaza wengi alipofichua jinsi alivyopigwa risasi na mbwa wake. Bw Richard Remme, 51, ambaye...

Simanzi mvulana kufariki akiokoa mbwa wake mtoni

Na PETER MBURU HALI ya simanzi ilikumba kijiji cha Kirandich, Kuresoi Kusini kaunti ya Nakuru Jumatano wakati mvulana wa umri wa miaka...