Chifu anayekabili uasherati, HIV kwa kutandika wazinifu mijeledi

Na BERNARD OJWANG KAUNTI ya Homa Bay imegonga vichwa vya habari mara nyingi kwa sababu zisizo njema kama vile kukithiri kwa maambuizi ya...

Mke mhanyaji ataka wahame usiku

Na TOBBIE WEKESA KANGEMI, NAIROBI Kioja kilizuka kwenye ploti moja mtaani humu baada ya mwanadada kumshurutisha jamaa kuhama ploti...

Vipusa wahamia kwa polo mkora

Na TOBBIE WEKESA NETIMA, BUNGOMA POLO mmoja kutoka eneo hili alijipata taabani baada ya warembo wawili kumvamia wakitaka awaoe...

Zogo mke kuvukishwa mto na ‘ex’

Na Leah Makena GACIONGO, THARAKA NITHI Sinema ya bure ilishuhudiwa eneo hili mume alipompapura mke wake kwa kuvukishwa mto na mpenzi...

Kipusa agawa asali kulipiza kisasi

Na Tobbie Wekesa KABUCHAI, BUNGOMA POLO mmoja wa eneo hili, alishindwa kujieleza alipogundua kuwa mkewe alitekeleza tishio lake la...

Kipusa awaka kupata sketi kitandani

Na LEAH MAKENA SABAKI, SYOKIMAU Mgogoro ulizuka katika nyumba moja eneo hili kipusa aliyemtembelea mpenzi wake alipowaka kwa hasira...

Jombi azimia kung’amua mke ana mwanaharamu

NA NICHOLAS CHERUIYOT BELGUT, KERICHO Jombi wa hapa, alizimia kwa muda baada ya kugundua kuwa mkewe ana mtoto wa kiume aliyezaa kabla...

Kibarua adungwa kisu alipofumaniwa na mke wa mtu kitandani

Na GEORGE MUNENE MAISHA ya kibarua mmoja katika Kaunti ya Kirinyaga yako hatarini baada ya kudungwa kwa kisu na mwanamume ambaye...

Polo ahama baada ya kufumania mke akitafunwa na rafiki

Na TOBBIE WEKESA USENGE, BONDO Kalameni mmoja wa eneo hili aliwashangaza wengi alipoamua kugura boma baada ya kumpata mkewe akila...

KIKOLEZO: Utamu wa mchepuko

Na THOMAS MATIKO UNAWEZA kusema kuwa mchepuko umeondokea kuwa kama vile ni mtindo wa kawaida sana ijapo sio sawa. Kikweli mchepuko...

Afumaniwa akigawia ‘mjomba wa ughaibuni’ asali

Na TOBBIE WEKESA UTAWALA, NAIROBI ILIKUWA ni mguu niponye kwa kipusa mmoja eneo hili baada ya kunaswa na mume wake akigawa tunda.?...

Natoka na mumeo, kipusa ajigamba

Na MIRRIAM MUTUNGA SOUTH B, NAIROBI SINEMA ya bure ilishuhudiwa kwenye ploti moja mtaani hapa vipusa wawili walipotwangana makonde...