Sonko awa mwiba kwa wanasiasa na maafisa serikalini

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA gavana wa Nairobi Mike Sonko amekuwa sumu kwa wanasiasa na maafisa wa serikali wanaohofia kuwa huenda...

Sonko anaugua maradhi ya ubongo na moyo, hawezi kuendelea na kesi – Mahakama

Na RICHARD MUNGUTI RIPOTI ya daktari wa tiba za akili imesema Alhamisi kuwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko anaugua maradhi ya...

Sonko apelekwa kortini kwa ambulensi

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Sonko amefikishwa katika mahakama ya Kiambu kwa ambulensi kutoka hospitali alimolazwa...

Sonko augua akiwa rumande, alazwa hospitalini

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, amelazwa hospitalini saa chache kabla ya kufikishwa korti ya Kiambu ambako...

Koma kulia, pambana kama mwanamume, hakimu amwambia Sonko

Na RICHARD MUNGUTI KAMA kuna wakati wenye changamoto tele kwa aliyekuwa gavana wa Nairobi Mike Sonko ni sasa. Maji yalizidi unga hata...

EACC yawazima Sonko na Baba Yao

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa zamani wa Kiambu Ferdinand Waititu na mwenzake wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko wamepata pigo baada ya Tume ya...

Mrithi wa Sonko jijini aanza kusakwa

Na COLLINS OMULO SIKU chache baada ya aliyekuwa Gavana wa Nairobi, Bw Mike Sonko kufurushwa mamlakani na Seneti, harakati za kisiasa...

Sonko alaumu mkono wa Raila, Uhuru kwa masaibu yake

Na BENSON MATHEKA ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko, ameanza kutapatapa kuhusu masaibu yake ya kisiasa akiwalaumu viongozi wa...

Maseneta roboti

Na CHARLES WASONGA KURA ya kumtimua Gavana Mike Sonko wa Nairobi mnamo Alhamisi usiku imewaangazia maseneta kama mateka wa vigogo wakuu...

Sonko ndiye alijichimbia shimo lake – Wataalamu

Na CHARLES WASONGA ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Sonko alianza kujiangusha mwenyewe mwezi mmoja baada ya kubuniwa kwa Idara ya Huduma...

Sonko azongwa

Na CHARLES WASONGA GAVANA wa Nairobi Mike Sonko jana Alhamisi alikabiliwa na wakati mgumu kujitetea mbele ya maseneta dhidi ya mashtaka...

Sonko nje

Na CHARLES WASONGA HATIMAYE maseneta Alhamisi usiku walipiga kura ya kuidhinisha hoja ya kumtimua afisini Gavana wa Kaunti ya Nairobi...