Ruto azindua hazina ya masharti nafuu

NA LEONARD ONYANGO WAKENYA sasa wanaweza kupata mikopo ya serikali, maarufu kama Hustler Fund, kupitia simu zao. Mikopo hiyo...

Wakenya wakosa kulipa mikopo ya Sh483 bilioni

NA BRIAN AMBANI GHARAMA ya maisha inapozidi kulemea Wakenya, imebainika kuwa wengi wamekosa kulipa mikopo yao huku kiasi cha madeni...

Mswada kudhibiti mikopo ya kidijitali waandaliwa

JOHN MUTUA Na SAMMY WAWERU BUNGE limeidhinisha kujadili mswada unaolenga kudhibiti riba inayotozwa wateja wanaoomba mikopo kupitia...

IMF kukopesha Kenya Sh262b kufufua uchumi

Na CHARLES WASONGA MAAFISA wa Shirika la Fedha Ulimwenguni (IMF) wanaozuru Kenya wametangaza kuwa shirika hilo litaipa Kenya mkopo wa...

Ujima wa kuhakikisha wafanyabiashara, vijana na wanawake Kiambu wanapokea mikopo

Na LAWRENCE ONGARO KAUNTI ya Kiambu imeingia katika mkataba na benki ya KCB na Mastercard Foundation ili kuwapa wafanyabiashara nafasi...

Ni tabia mbaya kuanzisha vyama vya akiba na mikopo kwa lengo la kuwapunja wanachama – Rais Kenyatta

Na SAMMY WAWERU RAIS Uhuru Kenyatta amefanya ziara katika eneo la Pumwani, Nairobi, Ijumaa ambapo amechukua fursa kulaani tabia ya...

Serikali ‘yachapisha’ pesa mpya kufufua uchumi

NA FAUSTINE NGILA SERIKALI 'imechapisha' fedha mpya za Sh15 bilioni katika kipindi cha siku saba kufikia Septemba 25, kulingana na...

WANDERI: Mikopo hii ya kigeni imegeuka utumwa

NA WANDERI KAMAU KWA karne mbili zilizopita, utumwa umeibukia kuwa mojawapo ya masuala makuu ambayo yameshamiri mijadala kwenye majukwaa...

Deni la Kenya sasa lafika Sh6.28 trilioni

NA JOHN MUTUA DENI la Kenya sasa limeongezeka kwa asilimia 15 na kufika Sh6.28 trilioni katika miezi mitatu ya kwanza ya mwaka...

MADENI: Uchumi wa Kenya katika hatari ya kuzama

Na DAVID MWERE MIKOPO tele iliyochukuliwa na serikali kwa miaka michache iliyopita, sasa inaweka Kenya katika hatari kubwa ya kuzama...

Wataalamu wataka mapendekezo muhimu yazingatiwe kulainisha utoaji mikopo

Na MAGDALENE WANJA WATAALAMU wa sekta ya fedha wametaka kutekelezwa kwa mapendekezo katika mikopo ili kuweka uwazi na kupunguza idadi ya...

Hakuna mikopo ya muda mfupi kwa serikali za kaunti – Ruto

Na MAGDALENE WANJA BARAZA Shirikishi la Bajeti na Masuala ya Uchumi (IBEC) limetupilia mbali ombi la serikali za kaunti kutaka...