Asema mume alifaa kufa badala ya mbwa

Na MASHIRIKA Frankfurt, Ujerumani MWANAMKE mmoja katika mji huu alishangaza jamaa na marafiki kwa kusema kuwa heri mumewe angekufa...

Polo aandaa hafla ya kumtema mkewe

Na TOBBIE WEKESA WEBUYE MJINI KALAMENI mmoja kutoka hapa alishangaza watu alipoandaa hafla ya kuachana na mkewe. Inasemekana polo...

Mwanamume apokonywa mke na pasta aliyesimamia harusi yake

Na KNA MFANYABIASHARA mmoja kutoka eneo la Juja Farm, Kaunti ya Kiambu, anasononeka baada ya mkewe wa miaka 26 waliyejaliwa watoto...

Adhani kapata mke kumbe kicheche

 Na John Musyoki KIAMBERE MJINI KALAMENI mmoja mjini hapa alijuta baada ya demu aliyemkaribisha kwake kumuibia pesa na simu. Duru...

Atupa mke kwa kuchoshwa na wakwe

Na John Musyoki Kiritiri, EMBU  JOMBI mmoja kutoka eneo hili aliwashangaza wazazi wake alipoamua kumtaliki mkewe akidai wakwe zake...

Jombi atoroka mke aliyeletewa na mamake

NA LEAH MAKENA KANGETA, MAUA Kalameni wa hapa alilazimika kutoroka nyumbani kuhepa mwanadada aliyechaguliwa na mama yake kuwa mke...

Ashangaza kujificha msituni miaka 10 kuhepa ukorofi wa mkewe

MASHIRIKA Na PETER MBURU MWANAMUME kutoka Uingereza ameshangaza ulimwengu baada ya kuibuka kuwa wakati fulani alipochoshwa na usumbufu wa...

Machozi yamtiririka polo akinyenyekea mkewe asimteme

Na Nicholas Cheruiyot Kaborok, Kericho Kulikuwa na kioja katika mtaa huu jamaa alipompata mkewe akitoroka kurudi kwao na kumlilia...

Jombi amrithi mke wa ndugu aliyehamia mjini

Na TOBBIE WEKESA MPELI, BUNGOMA POLO mmoja kutoka hapa alipigwa na mshangao alipopata mkewe alichukuliwa na ndugu yake mdogo. ?...

UNYAMA: Mke kutoka kuzimu alivyompa mumewe upofu daima milele

Na CECIL ODONGO KILA mwaka Kenya inapowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililotokea Septemba 21, 2013, uchungu,...

Jombi aomba kanisa limsaidie kutimua mke

Na TOBBBIE WEKESA KABARI, KIRINYAGA Kalameni mmoja aliwashangaza waumini wa kainsa moja la hapa alipoingia kanisani na kuomba...

Atwoli akana kutoroka na mke wa watu

VICTOR OTIENO na PETER MBURU KATIBU Mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi (COTU) Francis Atwoli amejitokeza kujibu uvumi uliotokea...