UNESCO kufanya ushirikiano na vyuo vikuu viwili nchini

Na LAWRENCE ONGARO SHIRIKA la UNESCO katika Afrika Mashariki na Kati lina umuhimu wake wa kujumuisha wanafunzi wa vyuo vikuu...

MKU yapokezwa cheti maalum kwa kutambulika kama kituo rasmi cha kutuza wahitimu vyeti halisi vya masomo

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) na kile cha Meru cha Sayansi na Teknolojia, vimetambulika kama vyuo vilivyo na...

Wahitimu 6,500 kutoka MKU washauriwa wawe wabunifu

Na LAWRENCE ONGARO WAHITIMU wapatao 6,500 wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) wameambiwa wawe wabunifu kwenye sherehe ya mahafali hao...

MKU yashirikiana na UN kuwajali wanaoishi na ulemavu

Na LAWRENCE ONGARO SHIRIKA la Umoja wa Mataifa (UN) linatambua juhudi za Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) za kuwajali wanaoishi na...

Wanafunzi 30 wapokea ufadhili kutoka kwa MKU

LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wapatao 30 kutoka Shule ya Msingi ya Kamenu mjini Thika wamenufaika na ufadhili kutoka kwa Chuo Kikuu cha...

AFYA: MKU yazindua kituo cha wahadhiri, wanafunzi kufanyia mazoezi

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) kimezindua kituo cha kisasa cha kufanyia mazoezi kwa wanafunzi na...

Wanafunzi wawili wa MKU wapata ufadhili kwa ubunifu wao kibiashara

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wawili wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) ni miongoni mwa watu 750 wabunifu wa njia mbalimbali za biashara...

MKU yashirikiana na KFS kutekeleza miradi ya upanzi wa miti

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) na Shirika la Kuhifadhi Misitu Nchini (KFS) zinashirikiana kutekeleza miradi ya...

MKU kwenye mstari wa mbele katika masuala ya michezo

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) hivi majuzi kilijiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Michezo kwa...

Mpango wa MKU kujenga hospitali ya kisasa

Na LAWRENCE ONGARO MWANZILISHI wa Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) Prof Simon Gicharu, ana mipango ya kujenga hospitali ya mafunzo,...

MKU na UNITAR zaingia kwenye mkataba wa ushirikiano wa kufanya utafiti na kutoa mafunzo

Na LAWRENCE ONGARO CHUO Kikuu cha Mount Kenya (MKU) na Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Mafunzo na Utafiti - United Nations Institute for...

MKU yapata ufadhili

Na LAWRENCE ONGARO KITENGO cha sayansi katika Chuo Kikuu cha Mount Kenya (MKU) kimepokea ufadhili kutoka chuo kimoja cha nje kwa ajili...