Hofu msongamano wa chanjo huenda uibue maambukizi

Na KENYA NEWS AGENCY WALIMU wameibua hofu ya ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona miongoni mwao kutokana na msongamano mkubwa...

Polisi motoni kwa msongamano wa magari wikendi

Na MWANDISHI WETU POLISI wametwikwa lawama kuhusiana na msongamano mkubwa ulioshuhudiwa katika barabara kuu ya Thika mnamo Jumamosi...

Misongamano mijini wananchi wakielekea mashambani kwa Krismasi

Na FRANCIS NDERITU MISONGAMANO mikubwa ya watu ilishuhudiwa jana katika vituo vya magari jijini wakazi wakielekea maeneo mbalimbali kwa...

Huzuni Kakamega wanafunzi 13 wakifariki shuleni

Na BENSON AMANDALA BIWI la simanzi Jumatatu lilitanda katika Kaunti ya Kakamega baada ya wanafunzi 13 wa Shule ya Msingi ya Kakamega...

Msongamano vituo vya mabasi Mombasa wageni wakirudi nyumbani baada ya likizo

Na MISHI GONGO KATIKA vituo vya mabasi mjini Mombasa kumefurika wasafiri wengi wakiwa ni wageni wanaorudi nyumbani na maeneo mengine ya...

Mvua kubwa yasababisha maafa kote nchini

Na WAANDISHI WETU Kwa ufupi: Watu watatu waliaga dunia na wengine zaidi ya 150 wakaachwa bila makao Taita Taveta Katika Kaunti...