Mgeni atoroka na mtoto katika hali ya kutatanisha

Na MARY WAMBUI FAMILIA moja inaendelea kuhangaika baada ya mwanamke aliyekuwa amemtembelea jirani wao kutoweka na mtoto wao wa miezi...

Mama ashangaza kuuza mwanawe kwa Sh28,000

Na James Murimi MWANAMKE jana alishtakiwa katika Mahakama ya Nanyuko kwa madai ya kuuza mtoto wake wa kike, 5, kwa Sh28,580. Bi Esther...

Familia Kisumu yamtafuta mtoto aliyetoweka wiki tatu zilizopita

Na BRENDA AWUOR FAMILIA moja kutoka Manyatta, Kisumu, inaomba wanajamii kuisaidia kupata mtoto Brianna Atieno aliyepotea wiki tatu...

Mwanamke anaswa akiuza mtoto Sh30,000

Na STANLEY NGOTHO MWANAMKE katika eneo la Mlolongo, kaunti ya Machakos alikamatwa wikendi pamoja na wenzake wawili alipojaribu kumuuza...

Mtoto alivyoibwa baada ya kuzaliwa, hospitali lawamani

WINNIE ATIENO, MOMBASA Bi Victoria Zubeida (pichani) alitembea katika Kituo cha Matibabu cha Mikindani huko Jomvu, Kaunti ya Mombasa...

Mtoto mchanga apatikana katupwa kando ya lori mjini Thika

Na LAWRENCE ONGARO MTOTO mchanga alipatikana ametupwa na kutelekezwa kando ya lori. Bawabu mmoja katika kituo cha petroli mjini Thika...

Mkulima apata maiti ya mtoto imetupwa katika shamba la mpunga

Na GEORGE MUNENE na MARY WANGARI WINGU la majonzi limegubika kijiji cha Mahigaini, kaunti ya Kirinyaga baada ya mtoto mwenye umri wa...

Mbunge afukuzwa bungeni kwa kuingia na mtoto

Na CHARLES WASONGA MBUNGE Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Kwale katika Bunge la Kitaifa, Zulekha Hassan amesababisha kioja Jumatano...

Nilikuwa nataka mtoto tu, mke amwambia polo baada ya kumtema

Na Ludovick Mbogholi KIMBUNGA KASHANI, Mombasa POLO wa hapa alijipata matatani kwa kuumbuliwa peupe na demu aliyemuoa miaka miwili...

Mtoto wa miaka 13 ashangaza kuunda kampuni ya programu za kompyuta

MASHIRIKA Na PETER MBURU WELEDI wa mvulana mmoja wa miaka 13 kutoka taifa la India umeshangaza ulimwengu wa teknolojia baada yake...

Mama akiri kumuuza mtoto wake kwa Sh1,200

Na MERCY KOSKEY MWANAMKE wa miaka 35 Jumatano alikiri kosa la kujaribu kumuuza mwanawe kwa Sh1,200 alipofikishwa kortini. Bi Ann...

Mtoto aliyenusurika mafuriko kimiujiza afadhiliwa masomo

Na CHARLES LWANGA MWANAFUNZI wa Darasa la Tatu aliyepotea kwenye mto Tana baada ya boti la kuwaokoa waathiriwa wa mafuriko kuzama na...