VITUKO UGHAIBUNI: Mtoto wa miujiza azaliwa katika kisiwa ambapo kupata mimba ni marufuku

AFP na VALENTINE OBARA RIO DE JANEIRO, BRAZIL KISIWA kilicho Brazil kimepata mtoto wa kwanza baada ya miaka 12, kwani kuna marufuku dhidi...

Mtoto wa tajiri ana nafasi nzuri maishani – Benki ya Dunia

Na VALENTINE OBARA MTOTO anayezaliwa katika familia maskini nchini hupata nafasi ndogo ya kujiimarisha kiuchumi kuliko yule anayezaliwa...

Hoteli motoni kwa kuzuia mwanamke kunyonyesha

Na BENSON MATHEKA WANAWAKE jijini Nairobi, wanatarajiwa kuandamana kesho kufuatia ripoti kwamba mama mmoja alifurushwa kutoka hotelini...

Mtoto azaliwa miaka minne baada ya wazazi wake kuangamia ajalini

MASHIRIKA na CHARLES WASONGA MIAKA minne baada ya mke na mume kufariki gari lao lilipohusika katika ajali, mtoto wao alizaliwa na mama...

Kizaazaa kortini DNA kuonyesha mama ndiye mzazi halisi wa mtoto ‘aliyeiba’

Na TITUS OMINDE KULIKUWA na sarakasi katika mahakama ya Eldoret Jumatatu pale mahakama ilipoamuru kuwa mama ambaye alishtakiwa kuiba...

Mwanafunzi aliyejitolea kumtunza mamaye mlemavu apunguziwa mzigo

NA PETER MBURU MTOTO wa miaka kumi ambaye aligonga vichwa vya habari mwishoni mwa Machi kwa kumsaidia mamake mlemavu kwa kumsukuma kwenda...

UTAMADUNI: Eneo ambako kina baba na watoto hutengewa titi kunyonya

Na SHABAN MAKOKHA Kwa ufupi: Wanaume wa Butere wafichua kwamba wao hunyonya matiti za wake zao ili kuondoa mikosi na kuzuia...

Mtoto aliyejitwika jukumu la kumlea mamaye mlemavu

NA PETER MBURU HALI ya ulemavu kwa mama mmoja kutoka mtaa wa Shabaab, Nakuru aliyetelekezwa na familia yake miaka 18 iliyopita imemsukumia...

Mtoto aliyepotea apatikana amefariki ndani ya gari la askofu

NA MOHAMED AHMED POLISI jijini Mombasa wanachunguza kifo cha mtoto wa shule ya chekechea aliyepatikana amefariki ndani ya gari la askofu...

Afikishwa kortini bila viatu kwa kuiba mtoto

[caption id="attachment_1968" align="aligncenter" width="800"] Bi Edinah Kerubo Mabuka alipofikishwa kortini kwa makossa ya kumwiba mtoto...