Mke akamatwa baada ya mwili wa mume kupatikana kwenye buti

NDUNGU GACHANE na LEONARD ONYANGO POLISI wa Mathioya, Kaunti ya Murang’a wanamhoji mke wa mwalimu wa shule ya upili ambaye maiti yake...

JAMVI: Mkono fiche wa mabilionea unaomtetemesha Sonko jijini

Na WYCLIFFE MUIA KWA mara nyingine, Gavana wa Nairobi, Mike Sonko amemkabili vikali Katibu katika Wizara ya Usalama wa Ndani, Karanja...

Kiwanda kipya cha gesi kujengwa Murang’a

Na BERNARDINE MUTANU Mwekezaji mmoja analenga kujenga kiwanda cha kutengeza mitungi ya gesi katika Kaunti ya Murang’a. Kampuni hiyo...

Diwani akanusha mashtaka 6 ya ulaghai Murang’a

[caption id="attachment_3747" align="aligncenter" width="800"] Diwani kutoka kaunti ya Murang’a Peter Mburu Muthoni almaarufu Soloman...

Murang’a ndiyo kaunti fisadi zaidi Kenya – Ripoti

Na CECIL ODONGO KAUNTI ya Muranga’a ndiyo fisadi zaidi kati ya kaunti zote 47 humu nchini kulingana na ripoti iliyozinduliwa Jumanne...