Karua, Mudavadi wapendwa zaidi kwa unaibu rais

NA LEONARD ONYANGO KIONGOZI wa Amani National Congress (ANC), Musalia Mudavadi na mwenzake wa Narc Kenya, Martha Karua ndio...

ANC yafufua wito Mudavadi awe naibu wa Ruto

NA WINNIE ATIENO WANACHAMA wa Amani National Congress (ANC), wamefufua wito kumtaka Naibu Rais William Ruto, kumchagua kinara wao, Bw...

Upungufu wa hela ulimsukuma Musalia kwa Ruto – Mbunge adai

NA BENSON AMADALA MBUNGE wa Sabatia Alfred Agoi, amedai kuwa Kinara wa ANC Musalia Mudavadi, aliamua kufanya kazi pamoja na Naibu Rais...

Mudavadi akoroga hesabu katika UDA

MWANGI MUIRURI NA LEONARD ONYANGO HATUA ya Kiongozi wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi kuungana na Naibu wa Rais William...

Mudavadi afichua sababu ya kugura OKA

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesema aliondoka kutoka muungano wa One Kenya...

JUNGU KUU: Hatua ya Mudavadi inaweza kumponza

Na BENSON MATHEKA HATUA ya kiongozi wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi kuungana na Naibu Rais William Ruto...

Mudavadi ayumba uchaguzi ukibisha

Na LEONARD ONYANGO KINARA wa Amani National Congress (ANC), Musalia Mudavadi anaendelea kuwakanganya wafuasi wake kwa kukosa msimamo...

Mudavadi avuliwa wadhifa wa msemaji wa Waluhya

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ANC Musalia Mudavadi amevuliwa wadhifa wa msemaji wa jamii ya Waluhya na mahala pake kuchukuliwa na Naibu...

Obure ahusisha Mudavadi na kashfa ya Anglo-Leasing

Na RICHARD MUNGUTI KINARA wa Chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi aliidhinisha mradi wa Anglo-Leasing uliosababisha...

Musalia na Weta watakiwa kusahau urais na kumuunga mkono Raila 2022

Na BRIAN OJAMAA WANDANI wa kinara wa ODM Raila Odinga katika Kaunti ya Bungoma sasa wanataka viongozi wa Magharibi kusitisha azma yao ya...

Wapuuza Uhuru

VITALIS KIMUTAI na BENSON MATHEKA WANASIASA wamedhihirisha kuwa kamwe hawako tayari kutii amri ya Rais Uhuru Kenyatta aliyepiga marufuku...

Mudavadi akejeli vigogo ‘kudandia’ sera zake

Na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa chama cha ANC, Musalia Mudavadi, Alhamisi aliwafokea vikali vigogo wengine wa kisiasa wanaowania urais,...