Rais hajajadiliana na OKA kuhusu atakayerithi ikulu 2022 – Mudavadi

Na SAMMY WAWERU KIONGOZI wa Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amekanusha madai kuwa Okoa Kenya Alliance (OKA) inafanya...

Mudavadi ataka BBI kuangaliwa upya

Na Gitonga Marete KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC) Musalia Mudavadi amesisitiza kuwa Bunge linapaswa kurejelea Mpango...

Mudavadi kuteua mgombea mwenza kutoka Mlima Kenya

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa Amani National Congress (ANC) amedokeza kuwa kuna uwekezekano mkubwa kwamba atateua mgombeaji mwenza wake...

Vigogo wawania Mlima Kenya kama mpira wa kona

Na NICHOLAS KOMU KAMPENI za kusaka kura za Mlima Kenya zimechacha, wawaniaji mbalimbali wakitumia mgawanyiko uliopo kujinadi kwa raia,...

Wabunge watishia kumtoroka Musalia

SHABAN MAKOKHA Na Maureen ONG'ALA WABUNGE wa chama cha Amani National Congress (ANC), wametishia kukihama chama hicho endapo kiongozi...

Mudavadi apuuzilia mbali dai la kuwepo juhudi kufufua NASA

Na WANDERI KAMAU KINARA wa ANC, Musalia Mudavadi, amekanusha ripoti kuhusu uwepo wa juhudi mpya kati yake na kiongozi wa ODM, Raila...

Nasa sinaswi tena

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, amepuuzilia mbali mpango wa wenzake Raila...

ODM ina machungu ya Matungu – ANC

Na CHARLES WASONGA KIONGOZI wa ANC, Musalia Mudavadi ameikashifu ODM kufuatia kuondolewa kwa Seneta wa Kakamega, Cleophas Malala jana...

Wanaomezea ‘tosha’ ya Uhuru

Na MWANGI MUIRURI HATUA ya mawaziri kadhaa kujitokeza wazi kutaka mmoja wao awe rais ifikapo mwaka wa 2022, imeongeza idadi ya kambi...

Musalia arai Oparanya ahamie upande wake

Na DERICK LUVEGA KIONGOZI wa chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, amemrai Gavana wa Kakamega, Bw Wycliffe...

Mudavadi asisitiza NASA iko kwenye chumba mahututi cha kisiasa

Na SAMMY WAWERU NATIONAL Super Alliance (NASA) iko kwenye chumba mahututi cha kisiasa, amesema kiongozi wa ANC, Bw Musalia...

Nafasi ipo kuimarisha BBI iwafae Wakenya – Mudavadi

Na SAMMY WAWERU KINGOZI wa ANC Bw Musalia Mudavadi amesema Ripoti ya Mpango wa Maridhiano (BBI) ingali na nafasi kuimarishwa licha ya...