Uganda yaalika Rwanda uhusiano kati yao ukidorora

Na Ivan R Mugisha, The East African Uganda imealika Rwanda kwa mkutano wa kujadili na kuthibitisha utekelezaji wa mkataba ambao nchi...

Museveni akemea mapinduzi Guinea

Na AFP KAMPALA, UGANDA RAIS wa Uganda Yoweri Museveni ametoa wito kwa wanajeshi wa Guinea waliofanya mapinduzi dhidi ya serikali...

Amani: Museveni aombwa atumie busara Sudan Kusini

Na AFP SHIRIKA la Maendeleo na Tawala za Kieneo (IGAD) limemwomba Rais wa Uganda Yoweri Museveni atumie hekima na uzoefu wake katika...

Museveni afokea Raila

Na LEONARD ONYANGO CHAMA tawala nchini Uganda, National Resistance Movement (NRM), kinachoongozwa na Rais Yoweri Museveni kimeshutumu...

Aliyemuua Rais Museveni mitandaoni anaswa Uturuki

Na THE EAST AFRICAN MWANABLOGU aliyeshukiwa kwa kueneza taarifa kuwa Rais Yoweri Museveni alifariki kwa kuugua virusi vya corona,...

Museveni ataka nchi zote za Afrika zitumie Kiswahili

Na MASHIRIKA RAIS wa Uganda Yoweri Museveni ameyataka mataifa ya Bara Afrika yatumie lugha ya Kiswahili kudhihirisha umoja wao badala ya...

Museveni ajitokeza hadharani baada uvumi kuhusu afya yake

Na MASHIRIKA ENTEBBE, UGANDA RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni Jumapili alionekana hadharani siku mbili baada ya uvumi kuenea kwamba...

Covid: Uganda kuanza kuunda chanjo yake – Rais Museveni

Na DAILY MONITOR RAIS Yoweri Museveni amesema Uganda itaanza kutengeneza chanjo yake ya corona, baada yake kufunga kabisa taifa hilo la...

Covid: Serikali yakana wandani wa Museveni walipewa chanjo

Na DAILY MONITOR KAMPALA, Uganda IMEIBUKA wandani wa karibu wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda walipewa chanjo dhidi ya virusi vya...

Uganda yarukia EU kwa kutaka iwekewe vikwazo

Na MASHIRIKA KAMPALA, Uganda UGANDA imeukashifu Umoja wa Ulaya (EU) kwa kuingilia masuala yake ya ndani baada ya bunge la umoja huo...

Museveni akabidhiwa nakala za kesi ya Bobi Wine kutaka ushindi wake ufutiliwe mbali

DAILY MONITOR Na SAMMY WAWERU Mawakili wa kiongozi wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi wamemkabidhi Rais Yoweri Museveni (NRM) nakala za...

Bobi Wine afika mahakamani kupinga ushindi wa Museveni

DAILY MONITOR Na SAMMY WAWERU Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine wamewasilisha kesi katika mahakama ya juu zaidi...