Tag: museveni
Museveni akabidhiwa nakala za kesi ya Bobi Wine kutaka ushindi wake ufutiliwe mbali
DAILY MONITOR Na SAMMY WAWERU Mawakili wa kiongozi wa chama cha NUP, Robert Kyagulanyi wamemkabidhi Rais Yoweri Museveni (NRM) nakala za...
Bobi Wine afika mahakamani kupinga ushindi wa Museveni
DAILY MONITOR Na SAMMY WAWERU Mawakili wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine wamewasilisha kesi katika mahakama ya juu zaidi...
CHARLES WASONGA: Museveni amesaidia Uganda licha ya utawala wake wa kiimla
Na CHARLES WASONGA INGAWA ni kweli kwamba Rais Yoweri Museveni ameongoza Uganda kwa udikteta kwa zaidi ya miongo mitatu, nchi hiyo...
BENSON MATHEKA: Museveni amegeuza Uganda kuwa mali ya kibinafsi
Na BENSON MATHEKA UCHAGUZI wa urais wa wiki jana katika nchi jirani ya Uganda, una mafunzo mengi yanayoweza kuwazindua raia wa nchi hiyo...
Facebook yazima ujumbe wa Uhuru kwa Museveni
Na MWANDISHI WETU MTANDAO wa Facebook jana uliweka onyo kwenye ujumbe wa Rais Uhuru Kenyatta ukidai kwamba ulikuwa wa...
Museveni aahidi kujali zaidi maslahi ya maskini
Na Eriasa Mukiibi Sserunjogi RAIS Yoweri Museveni ameapa kuwapa kipaumbele maskini katika jamii anapoingia mamlakani tena, badala ya...
MIAKA 40: Museveni ashinda urais kwa mara ya sita mfululizo
Na CHARLES WASONGA TUME ya Uchaguzi Uganda (UEC) imetangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi wa urais baada ya kuzoa...
Museveni kifua mbele Bobi Wine akipinga matokeo ya mapema
Na MASHIRIKA RAIS wa Uganda Yoweri Museveni amepata uongozi wa mapema katika kinyang’anyiro cha urais, kulingana na matokeo ya awali...
Mshindi wa urais Uganda kujulikana kesho
NA DAILY MONITOR TUME Huru ya Uchaguzi nchini Uganda inatarajiwa kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais hapo Jumamosi baada ya kuandaa...
Jeshi lamwagwa miji mikuu uchaguzi mkuu ukinukia
NA MASHIRIKA JESHI la Uganda limeimarisha usalama jijini na nje ya Kampala kabla ya uchaguzi wa urais na bunge uliopangiwa kufanyika...
Facebook yaadhibu wafuasi wa Museveni
Na DAILY MONITOR KAMPALA, Uganda WATU zaidi ya 50 ambao wamekuwa wakimpigia debe Rais Yoweri Museveni mitandaoni wamezuiliwa kutumia...
- by adminleo
- July 25th, 2020
Binti akasirisha baba kwa kuamua kumpinga kisiasa
Na DAILY MONITOR HUKU joto la uchaguzi likiendelea kupanda nchini Uganda, mwanasiasa mmoja amemuasi bintiye aliyetangaza azma ya...