Hadhi: Wito serikali iimarishe majukwaa ya kazi za sanaa Nakuru

Na RICHARD MAOSI WASANII kutoka Nakuru Arts Players Theatre, wanatumai kuwa serikali ikiongozwa na rais itasaidia kuboresha miundomsingi...

Uhuru kuidhinisha Nakuru kuwa jiji la nne Kenya

ERIC MATARA na JOSEPH OPENDA RAIS Uhuru Kenyatta wiki hii anatarajiwa kuidhinisha rasmi mji wa Nakuru kuwa jiji, baada ya Seneti...

Nakuru kuwa jiji endapo Rais ataidhinisha uamuzi wa maseneta

Na CHARLES WASONGA MJI wa Nakuru sasa utapandishwa hadhi na kuwa jiji la nne nchini endapo Rais Uhuru Kenyatta ataidhinisha uamuzi wa...

Fujo, hongo kwenye uchaguzi mdogo Nakuru

NA ERIC MATARA WANAHABARI watatu wamepata majeraha kwenye ghasia ambazo zimeshuhudiwa Alhamisi asubuhi katika kituo cha kupigia kura cha...

Polisi Nakuru wawasaka wahalifu wawili waliotoroka wakiwa na majeraha ya risasi

Na RICHARD MAOSI POLISI kutoka Nakuru wanaendelea kutafuta wahalifu wawili waliotoroka na majeraha ya risasi baada ya wenzao sita...

Aibu kwa madiwani wa Nakuru kumeza mishahara ya bwerere kwa miezi sita

Na FRANCIS MUREITHI MISWADA minne muhimu kutoka kwa madiwani wa wadi mbalimbali katika Kaunti ya Nakuru haijawahi kushughulikiwa na...

Kaunti ya Nakuru yalenga kuwa na vitanda 1,000

Na PHYLLIS MUSASIA Kaunti ya Nakuru inatarajia kuongeza idadi ya vitanda katika maeneo yaliotengwa hospitalini kwa ajili wa wagonjwa wa...

COVID-19: Upimaji wa watu wengi waanza Nakuru

Na PHYLLIS MUSASIA KAUNTI ya Nakuru imezindua mpango wa kuchukua sampuli za watu wengi na kuzifanyia vipimo kujua ikiwa wana ugonjwa wa...

Walemavu Nakuru wanavyofurahia kucheza voliboli

NA RICHARD MAOSI Nakuru County Sitting Volleyball ni kikosi cha wachezaji wasiopungua 30 wanaocheza voliboli chini ya usimamizi wa...

Nyani wahangaisha wakazi majumbani

Na PHYLLIS MUSASIA WAKAZI wa maeneo ya Lake View, Flamingo, Kaloleni na Racecourse katika Kaunti ya Nakuru wanaishi kwa hofu kutokana na...

Makabiliano makali yanukia Nakuru

Na JOSEPH OPENDA MAKABILIANO makali ya kisiasa yamechipuka katika Kaunti ya Nakuru, baada ya wabunge wa ‘TangaTanga’ kumlaumu Gavana...

Pendekezo Nakuru iwe jiji kujadiliwa na Seneti

Na IBRAHIM ORUKO MJI wa Nakuru huenda ukawa jiji la nne nchini ikiwa maseneta wataidhinisha pendekezo la serikali ya kaunti kutaka...