Nasa ulikuwa muungano wa kusaka uongozi 2017, asema Junet

Na SAMMY WAWERU MBUNGE wa Suna Mashariki, Junet Mohammed amesema National Super Alliance (Nasa) ni muungano uliobuniwa kwa minajili ya...

Msajili wa Vyama avunjilia mbali NASA

Na LEONARD ONYANGO MSAJILI wa Vyama vya Kisiasa, Ann Nderitu amevunja rasmi muungano wa National Super Alliance (NASA) uliojumuisha...

Uhuru mbioni kufufua Nasa

Na VALENTINE OBARA RAIS Uhuru Kenyatta, Jumanne aliendelea na mikutano yake ya kisiri na vigogo wa kisiasa wanaokamia kumenyana na naibu...

CECIL ODONGO: ODM isiingie mkataba kipofu kama wa Nasa

Na CECIL ODONGO BAADA ya kujiondoa katika muungano wa NASA, ODM inafaa kujihadhari na kumakinika kabla ya kuingia mkataba wa kisiasa na...

Msimu wa talaka

Na LEONARD ONYANGO HUKU ikiwa imesalia miezi 12 kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 9, 2022, wanasiasa wameanza kujipanga...

Talaka ya NASA yakamilika sasa chama cha ODM kikijiondoa

Na BENSON MATHEKA CHAMA cha ODM kinachoongozwa na aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga, nacho kimeamua kujiondoa katika muungano wa...

Vinara wa NASA wawakanganya wafuasi wao

BENSON MATHEKA Na PIUS MAUNDU LAWAMA ambazo vinara wa muungano wa NASA wanarushiana kuhusu mkataba wa kabla ya uchaguzi mkuu wa 2017...

Nasa sinaswi tena

Na VALENTINE OBARA KIONGOZI wa Chama cha Amani National Congress (ANC), Bw Musalia Mudavadi, amepuuzilia mbali mpango wa wenzake Raila...

JAMVI: Raila anajitia hatarini kuhepwa ifikapo 2022

Na WANDERI KAMAU KIONGOZI wa ODM, Bw Raila Odinga, yuko kwenye hatari ya kuachwa mpweke kisiasa ifikapo 2022, kutokana na tofauti ambazo...

JAMVI: Kusambaratika kwa NASA huenda itakuwa nafuu au kitanzi kwa Raila

Na CHARLES WASONGA VITA vya maneno vilivyotokea majuzi kati ya vigogo wa muungano wa upinzani (NASA), Raila Odinga kwa upande mmoja na...

Mudavadi asisitiza NASA iko kwenye chumba mahututi cha kisiasa

Na SAMMY WAWERU NATIONAL Super Alliance (NASA) iko kwenye chumba mahututi cha kisiasa, amesema kiongozi wa ANC, Bw Musalia...

Wito kwa vinara wa NASA waungane upya

Na JUSTUS OCHIENG KUNDI la viongozi katika Muungano wa National Super Alliance (Nasa) wanataka kukomeshwa kwa malumbano miongoni mwa...