NASA yapinga Wetang’ula kutimulilwa

Na CHARLES WASONGA VINARA wawili NASA wamepinga kuondolewa kinara mwenza Moses Wetang’ula kama kiongozi wa wachache katika Seneti...

Ndoa ya NASA yaingia doa: ODM yampiga Wetang’ula mjeledi

Na LUCY KILALO na IBRAHIM ORUKO CHAMA cha ODM kimemuondoa Seneta wa Moses Wetangula kama kiongozi wa Wachache katika Seneti, hatua...

Tokeni NASA kama nyinyi ni wanaume, ODM yaambiwa

Na WYCLIFFE MUIA BAADHI ya wabunge wa vyama vya Wiper, ANC na Ford Kenya sasa wamewataka wenzao wa ODM waondoke kutoka kwa muungano wa...

Tunataka kukutana na Uhuru – Kalonzo, Mudavadi na Weta

CHARLES WASONGA, STEPHEN MUTHINI na WYCLIFFE MUIA KIONGOZI wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka amependekeza mkutano kati ya vinara watatu...

KIFO CHA NASA: Dalili zote za muungano kusambaratika

Na CHARLES WASONGA MKUTANO kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga sasa unaonekana kupanua ufa katika muungano wa...

Vinara wa NASA wakubaliana kuepuka siasa za 2022

Na VALENTINE OBARA Kwa ufupi: Kwa kauli moja, wamewataka wanachama wao wakomeshe mijadala ya uchaguzi wa 2022 na badala yake, wawe na...

Seneta Khaniri amtaka Raila ampishe aongoze NASA

Na PIUS MAUNDU SENETA wa Vihiga, Bw George Khaniri, ameanza kampeni ya kumrithi kinara wa NASA Raila Odinga. “Ikiwa hamuwezi...

JAMVI: Historia ya utengano baina ya Raila na Kalonzo yaanza kubisha hodi tena

[caption id="attachment_2404" align="aligncenter" width="800"] Vinara wa NASA, Bw Raila Odinga na Kalonzo Musyoka (kushoto) wakihutubia...

ODM yavitaka vyama tanzu vya NASA vikomeshe siasa za 2022

Na VALENTINE OBARA KATIBU Mkuu wa Chama cha ODM, Bw Edwin Sifuna, amepuuzilia mbali vyama tanzu vya Muungano wa NASA vinavyotaka upinzani...

JAMVI: Dhana Raila atawania urais 2022 yazua hofu ya mgawanyiko Nasa

Na BENSON MATHEKA Kwa ufupi: Dalili zinaonyesha kuwa Bw Odinga amekuwa akitengwa na wenzake tangu ajiapishe kuwa rais wa wananchi ...

Mbunge akanganya Kalonzo kuhusu msimamo wa Wiper

[caption id="attachment_1655" align="aligncenter" width="800"] Mbunge wa Mwingi ya Kati, Bw Gideon Mulyungi. Picha/...